tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,073
- 16,639
Hello wakuu.
Jana nimepita nyumbani kwa jamaa angu kuchukua mzigo flani,nimefika nikamkuta shem wangu nikamsabahi fresh but sikuona ule uchangamfu niliouzoea kutoka kwake ikabidi nimuulize jamaa angu kulikoni shem kuwa vile, ndio jamaa kuniambia wana siku tatu hawasemeshani, jamaa alimnasa makofi mkewe kisa mambo ya kuchunguza simu zake so tangu hapo wamenuniana.
Nimetafakari tu inawezekanaje watu mnaolala kitanda kimoja mnuniane siku tatu mfululizo?