Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
nimekuja Kaizer
niambie!
weekend hii, omba ruhusa kabisa kwa ubavu wako, nina neno nataka tutete wote sehem sehem.... Passion Lady
Last edited by a moderator:
nimekuja Kaizer
niambie!
weekend hii, omba ruhusa kabisa kwa ubavu wako, nina neno nataka tutete wote sehem sehem.... Passion Lady
miss u 4!
leo sikuelewi ujue
Shemeji yangu wa ukweli leo nilikua namajukumu ndio maana unaona kama sielewiki vile. Tonykp mzima?
pole na majukumu
hajambo anakusalimia!
asante shemeji angu! Leo jioni mnaenda wapi?
leo ni home tu
mbwembwe zinaanza ijumaa!
Leo mnajifungia chumbani tu eeh!
ndio maana ake!
honeymoon haijaisha bado
oa na wewe!
itakua poa sana shem langu!
kila siku najiandaa
mbona humleti?
Anakuja usihofu yupo hapa pembeni ana nirukia rukia tu ah ah! Raha
wacha weeee!msalimie!