Wapendwa,NAUMWA!!!

Wapendwa,NAUMWA!!!

pole ndugu Free Thinker pole sana mwenyezi mungu akutie nguvu,akuwekee wepesi,upone sasa hiv ndan ya dakika hihii amen!
 
Last edited by a moderator:
Niombeeni,hali yangu ya kiafya si njema hata kidogo!!

Pole sana Free Thinker, ugua pole.
get well.gif
 
Last edited by a moderator:
Ugua pole mpendwa nguvu ya uponyaji kutoka Mbinguni

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii forum
 
Back
Top Bottom