Wapendwa naomba kujuzwa kuhusu vyuo hivi kuelekea udahili wa masomo ngazi ya astashahada na stahada 2021/2022

Dogo ana pcb advance DCC kamaliza mwaka jana anataka kwenda lugalo clinical medicine wakuu mnasemaje.
 
Habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.

wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE

Vipi ni vyuo vitatu bora kwa kozi ya clinical medicine interms of ada,capacity ya watu wanaohitajika,ushindani kwenye ajira baadae.kutokana na uchumi wa hapa home kwa sasa tunaweza kuafford kufanya udahili kwenye vyuo vitatu tu(30,000/=) matokeo yangu ya kidato cha nne ni;

PHY-C
CHEM-C
BIO-B
MATH-C na yaliyobaki yaani KISW,GEO,HIST,CIV,ENGLISH yote ni C
Naweza nikusaidie? njoo pm
 
Back
Top Bottom