Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Jun 3, 2013 #41 nakupenda manoah japo baba yako Bishanga aliniacha lakini hiyo siyo ya kufanya nisipende watoto wake. manoah said: nimesikia sasa.... nilizani hunipendi Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nakupenda manoah japo baba yako Bishanga aliniacha lakini hiyo siyo ya kufanya nisipende watoto wake. manoah said: nimesikia sasa.... nilizani hunipendi Click to expand...
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Jun 3, 2013 #42 kwanini mliachana? kuna mmoja wenu alikua hajatulia au? sielewei hapa sasa..... Mamndenyi said: nakupenda manoah japo baba yako Bishanga aliniacha lakini hiyo siyo ya kufanya nisipende watoto wake. Click to expand...
kwanini mliachana? kuna mmoja wenu alikua hajatulia au? sielewei hapa sasa..... Mamndenyi said: nakupenda manoah japo baba yako Bishanga aliniacha lakini hiyo siyo ya kufanya nisipende watoto wake. Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Jun 3, 2013 #43 muulize baba yako majibu yoooote anayo manoah said: kwanini mliachana? kuna mmoja wenu alikua hajatulia au? sielewei hapa sasa..... Click to expand...
muulize baba yako majibu yoooote anayo manoah said: kwanini mliachana? kuna mmoja wenu alikua hajatulia au? sielewei hapa sasa..... Click to expand...
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Jun 3, 2013 #44 nisaidie kumuuliza basi! Mamndenyi said: muulize baba yako majibu yoooote anayo Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Jun 3, 2013 #45 huwa hatuongei hata namba yake ya simu alininyima manoah said: nisaidie kumuuliza basi! Click to expand...
huwa hatuongei hata namba yake ya simu alininyima manoah said: nisaidie kumuuliza basi! Click to expand...
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Jun 4, 2013 #46 nitakutumia email yake! alafu nitakua nakuja kwako ... najua atanifata tu huko.. ndipo mtapo onana Mamndenyi said: huwa hatuongei hata namba yake ya simu alininyima Click to expand...
nitakutumia email yake! alafu nitakua nakuja kwako ... najua atanifata tu huko.. ndipo mtapo onana Mamndenyi said: huwa hatuongei hata namba yake ya simu alininyima Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Jun 4, 2013 #47 ha ha haaaa mtoto umekua sasa looooh. manoah said: nitakutumia email yake! alafu nitakua nakuja kwako ... najua atanifata tu huko.. ndipo mtapo onana Click to expand...
ha ha haaaa mtoto umekua sasa looooh. manoah said: nitakutumia email yake! alafu nitakua nakuja kwako ... najua atanifata tu huko.. ndipo mtapo onana Click to expand...
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Jun 4, 2013 #48 umeona eeh! hua nakunywa uji wa mtoto wa The secretary, umetengenezewa soya+dagaa wa kigoma na mwanza+maziwa+karanga+ulezi+mchele+mahindi.. ubongo unapata kitu inapenda... Mamndenyi said: ha ha haaaa mtoto umekua sasa looooh. Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
umeona eeh! hua nakunywa uji wa mtoto wa The secretary, umetengenezewa soya+dagaa wa kigoma na mwanza+maziwa+karanga+ulezi+mchele+mahindi.. ubongo unapata kitu inapenda... Mamndenyi said: ha ha haaaa mtoto umekua sasa looooh. Click to expand...