Joana, mie pia ndi nnina wiki moja tu jamvini.
Wazee wenyewe ni kazi yao, bila shaka watakukaribisha na kukupa maelekezo sahihi kama ambavyo walivyokwishaanza hapo juu. Mimi zaidi tu ya kukushukuru kwa kuingia kwa watu kiungwana, sina lingine zaidi ya kukuambia upite pale Jengo la 'Jamii Forum Complex' na ukimkuta Mzee moja anaitwa Invisible atakupa ORIENTATION zote.
Wako pale makutano ya mitaa ya UFISADI ADUI YANGU na MAJUNGU SIPENDI, utapaona tu. Nisingekua na mishughuli ningekupeleka mguu kwa mguu tu.