Dawa ni kufanya mazoezi mkuu. Ugali una carbohydrates kubwa na hii isipotumika mwilini inabadilishwa kuwa mafuta ambayo yanahifadhiwa kwenye ini kwa matumizi yabaadae kama vile inacyoweka nafaka ghalani. Ukizidi kuyaongeza yanahifadhiwa katika sehemu nyingine za mwili kama tumboni ndiyo yanasababisha kitambi. Yakizidi sana yanashindana nafumo wa mwili wa kurekebisha kiwango cha sukari.
Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitoweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.
Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?
Nyama ya mchuzi au kavu? Samaki ninapenda kupika na mchuzi wa nazi lakini oily fish kama mackerel au salmon ninambake kwanza then ninmchesha na Limao nyanya chungu na bamia ohh
Nyama ya mchuzi au kavu? Samaki ninapenda kupika na mchuzi wa nazi lakini oily fish kama mackerel au salmon ninambake kwanza then ninmchesha na Limao nyanya chungu na bamia ohh
Ugari una mboga zake, siyo ugari nyama au maharage, ugari mboga zake kama samaki wa kukaanga, nyama choma, mlenda sijui bamia ya kuchanganyikiwa na biringanya nyanya changu daaah, au ugari makange ya kuku au ya mbuzi