Ugali dona la moto (dona la home made-unanunua unga wa dona unachanganya na dagaa waliosagwa na unga wa muhogo) alafu na rosti ya dagaa na rosti ya matembele, aiseeee!
ha ha ha uko sawa kabisa mie nilijaribu kuupunguza kipindi fulani hivi maana nilikua na kakitambi amaizing!! maana kazi zenyewe nafanya za kukaa mda mrefu!!