Bora umesema kwel,,maana hakuna jins ya kukataa kule,utakula kwa lazima,sasa hvi oiga wali tu tena kwa naziUgali niliokulaga enzi hizo boarding kwa miaka minne na maharaghe yenye wadudu umetosha kabisa. Yani sina hamu ya ugali kabisa.
Aaaaaah Wewe hata usingecomment coz tunajua we so calibre ya kula ugali.....hapana kwa kweli mimi nakula mara moja kwa miezi mitatu tena kidoogo
Tena upate ule mbawa mbili au tule na bwana unanukia hadi nyumba ya tatu wanasikiaMwakashina mlongu, wali na samaki wooote Nazi balaa kila siku sichoki kamwe.
Ugali m'baya bhana,kitu wali bhana!!!Habari za J3 wapendwa
Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitoweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.
Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?
Wanaume pia mnakaribishwa
Tena upate ule mbawa mbili au tule na bwana unanukia hadi nyumba ya tatu wanasikia
Ugali na maharage pembeni nguru/papa ya kuchoma na nyanya chungu za kuoka
Habari za J3 wapendwa
Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitoweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.
Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?
Wanaume pia mnakaribishwa
Ugali dona saiz ya ngumi yangu,pembeni nyama ya kukausha,mchicha/tembele,kachumberi iliokolea ndimu,mango chatne ama pilipili ya kupikwa,kipande cha tikiti na maji yenye ubaridi kwa mbaaali[emoji39][emoji39]
Waaambie kipikwe kipunga kwa naziUgali m'baya bhana,kitu wali bhana!!!
Asante kwa ufafanuzi mkuuDawa ni kufanya mazoezi mkuu. Ugali una carbohydrates kubwa na hii isipotumika mwilini inabadilishwa kuwa mafuta ambayo yanahifadhiwa kwenye ini kwa matumizi yabaadae kama vile inacyoweka nafaka ghalani. Ukizidi kuyaongeza yanahifadhiwa katika sehemu nyingine za mwili kama tumboni ndiyo yanasababisha kitambi. Yakizidi sana yanashindana nafumo wa mwili wa kurekebisha kiwango cha sukari.