min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,653
- 172,175
Haujaona hata money flowers? 🤣🤣Sijui hata moja hapo😔
Haujaona hata money flowers? 🤣🤣Sijui hata moja hapo😔
Ua zuri Sana hili kupanda nyumbani angalau miche mitano kuzinguka nyumba
Woow,kisses dear...asanteee💓View attachment 3169675
I love love tulips jamanii😍😒
Unavurugikaje kwa mfano wakati ndo Kwanza ubongo unajipanga vizuri!Hivi hamvurugiki ubongo?
Weeeeh! Kumbe ndio maana🤪Kitaaluma inasemekana watu wanapenda maua wana roho nzuri na upendo wa dhati🤔
Kabisa wengi wapo hivyo ila najishangaa ni mimi sipo hivyo ila napenda maua mno ,nikikaa sehemu imezungukwa na maua na miti midogo ya kivuli na maliza kreti mbili za bia🤣🤣🤣Weeeeh! Kumbe ndio maana🤪
Hili li Salam mpe mdogo wako yule Hope urassa kama unaniambia shikamoo niambie tuFeke p haujambo?
Halafu unakuta una selasini na kitu ila unataka salam kwangu😄😄😄Hili li Salam mpe mdogo wako yule Hope urassa kama unaniambia shikamoo niambie tu
Naiomba hii shati mkuu🤪😀
Nashukuru kwa zawadi hii ya ua Mjukuu
Hili shart ni fupi sana, sijui kama litakutosha 😋😋Naiomba hii shati mkuu🤪😀
Usijali ntalifanya crop top tumbo nje😀😀Hili shart ni fupi sana, sijui kama litakutosha 😋😋