Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,793
- 9,072
- Thread starter
- #301
Jamani, mazuri kweli😘😘Paper flowersView attachment 3170693
Jamani, mazuri kweli😘😘Paper flowersView attachment 3170693
sina pa kwenda npo mimi😂😂🤣🤣🤣 Upo wewe?
Yametengenezwa kwa karatasi ila yametulia mmhJamani, mazuri kweli😘😘
Hili utakuta ni kwenye rainforestYeah,ona hili
🤣🤣🤣Umenikumbusha bhana,Kuna maua nimetumiwa humu... hakika Mungu aingilie kati 🙌Hili ua sijui kwanini wamelitolea jina hilo ila kweli limekaa kama lips kabisa ila ni ua View attachment 3170763