Nampongeza Mh Seif Shariff Hamad katibu mkuu wa CUF kugomea uchaguzi wa mkuu wa marejeo wa Zanzibar kwa kuwa aliamini atachezewa rafu na CCM kwa upande wa nafasi ya urais wa Zanzibar.
Lakini ni uamuzi ambao unawaumiza wafuasi wake hasa waishio Pemba kwa sab wamekosa wawakilishi ambao wangetokana na chama cha Cuf kwa kuwa asilimia 90 ya wakazi wa Pemba ni wafuasi wa Cuf.
Wanacuf kwa sasa wanahisi ubinafsi wa Maalim ndio uliopelekea kugomea uchaguzi mzima badala ya kugomea wa urais pekee ambao unamhusu moja kwa moja na angewapa nafasi ya kuchagua wawakilishi wanaowapenda.
Wanacuf wanajihisi wametengwa kwenye siasa kwa uchu wa madaraka wa mtu mmoja.
Wanacuf wanajihisi wamenyang'anywa silaha yao pekee ya kupambana na ccm kwa hoja ndani ya baraza la wawakilishi na kubaki nyuma kama simba kibogoyo kwa sab ya tamaa ya madaraka ya mtu mmoja.
Wanacuf hawajui hatima yao ya kisiasa kwani wanatarajia mapenzi ya Maalim Seif iwapo ataamua waingie kwenye uchaguzi angalau wa wawakilishi mwaka 2020 ama la na hata kama wakiingia wanahisi watakuwa wameachwa nyuma na mahasimu wao CCM kwahiyo kuwa kama wanaanza upya.
Je wakati wa Maalim Seif Kujiuzulu Umefika?