Wapemba wateswa na uamuzi wa Mh. Seif Sharif Hamad

chikundi

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
8,159
2,281
Nampongeza Mh Seif Shariff Hamad katibu mkuu wa CUF kugomea uchaguzi wa mkuu wa marejeo wa Zanzibar kwa kuwa aliamini atachezewa rafu na CCM kwa upande wa nafasi ya urais wa Zanzibar.

Lakini ni uamuzi ambao unawaumiza wafuasi wake hasa waishio Pemba kwa sab wamekosa wawakilishi ambao wangetokana na chama cha Cuf kwa kuwa asilimia 90 ya wakazi wa Pemba ni wafuasi wa Cuf.

Wanacuf kwa sasa wanahisi ubinafsi wa Maalim ndio uliopelekea kugomea uchaguzi mzima badala ya kugomea wa urais pekee ambao unamhusu moja kwa moja na angewapa nafasi ya kuchagua wawakilishi wanaowapenda.

Wanacuf wanajihisi wametengwa kwenye siasa kwa uchu wa madaraka wa mtu mmoja.

Wanacuf wanajihisi wamenyang'anywa silaha yao pekee ya kupambana na ccm kwa hoja ndani ya baraza la wawakilishi na kubaki nyuma kama simba kibogoyo kwa sab ya tamaa ya madaraka ya mtu mmoja.

Wanacuf hawajui hatima yao ya kisiasa kwani wanatarajia mapenzi ya Maalim Seif iwapo ataamua waingie kwenye uchaguzi angalau wa wawakilishi mwaka 2020 ama la na hata kama wakiingia wanahisi watakuwa wameachwa nyuma na mahasimu wao CCM kwahiyo kuwa kama wanaanza upya.

Je wakati wa Maalim Seif Kujiuzulu Umefika?
 
Ndio maana huw siamini ktk upinzani Bongo.
 
Ni uamuzi mzuri kuonyesha msimamo kitaifa na kimataifa kwa malengo ya muda mfupi tu.

Ukiufikiria uamuzi huu kwa kutazama miaka mitano CUF wanapoteza sana kwasababu wameiacha CCM ijinafasi na ikiwa chama tawala wameitendea haki ilani yao hususanj miradi ya maendeleo upande wa Pemba hiyo itakuwa no fursa ys kujihakkishia ushindi awamu ijayo

Kweli Maalif kaweka uninafsi
 
CUF zanzibar hakuna zaidi ya Maalim chama ni cha Maalim ulishawahi kusikia anapingwa........tushazoea
 
Nampongeza Mh Seif Shariff Hamad katibu mkuu wa CUF kugomea uchaguzi wa mkuu wa marejeo wa Zanzibar kwa kuwa aliamini atachezewa rafu na CCM kwa upande wa nafasi ya urais wa Zanzibar.

Lakini ni uamuzi ambao unawaumiza wafuasi wake hasa waishio Pemba kwa sab wamekosa wawakilishi ambao wangetokana na chama cha Cuf kwa kuwa asilimia 90 ya wakazi wa Pemba ni wafuasi wa Cuf.

Wanacuf kwa sasa wanahisi ubinafsi wa Maalim ndio uliopelekea kugomea uchaguzi mzima badala ya kugomea wa urais pekee ambao unamhusu moja kwa moja na angewapa nafasi ya kuchagua wawakilishi wanaowapenda.

Wanacuf wanajihisi wametengwa kwenye siasa kwa uchu wa madaraka wa mtu mmoja.

Wanacuf wanajihisi wamenyang'anywa silaha yao pekee ya kupambana na ccm kwa hoja ndani ya baraza la wawakilishi na kubaki nyuma kama simba kibogoyo kwa sab ya tamaa ya madaraka ya mtu mmoja.

Wanacuf hawajui hatima yao ya kisiasa kwani wanatarajia mapenzi ya Maalim Seif iwapo ataamua waingie kwenye uchaguzi angalau wa wawakilishi mwaka 2020 ama la na hata kama wakiingia wanahisi watakuwa wameachwa nyuma na mahasimu wao CCM kwahiyo kuwa kama wanaanza upya.

Je wakati wa Maalim Seif Kujiuzulu Umefika?
Ni utaratibu wa wa roho wa madaraka wakishindwa uchaguzi kulazimisha wa rudie hadi wa shinde wao
 
Mpaka Uchaguzi unafutwa matokeo ya Rais yalikuwa bado kutangazwa ingawa jamaa mmoja katunga matokeo kwamba ameshinda!!!
 
Njaaa kweli noma we mtoa post hayo maneno umeyatoa wapi kwani hata tungetoa hao unaowaita wawakilishi kungekua na jipya gani katika hayo unayoyaita maendeleo ukitaka kujua km hichi chama cha kijani kimechoka tembelea hayo majimbo yenye wawakilishi wa hicho chama hlf utuletee tofauti yake na hayo unayoyasema yameeachwa nyuma kwa kukosa uwakilishi wake siku ikfika mpaka cc watanzania tukajua kua adui yetu mkubwa ni hawa wanaojiita chama tawala itakua karibu sana kushuka kwa yesuu
 
Mkuu mleta mada CUF ni Mali ya maalim seif sharif hamad kqmq ilivyo kwa Chadema ni Mali ya lowasa.
 
mtoa mada
unaonekana una uwezo mdogo sana wa kutathmini mambo ya siasa za nchi hii,hapa pemba sisi hatufaidiki na kuwachagua wawakilishi sisi tumekubali muda mrefu sana kuwa mahabusu wa siasa za nchi hii,na tunaelewa hata tunapo wachagua hao wawakilishi wote wa cuf pemba hali za maisha ya watu kwa ujumla bado yanakuwa hayabadiliki wala hatutegemei kuwa yatabadilika,kwa hio hatuteseki wala hatuvunji moyo kwa mambo tusiyo yatarajia.

kwetu sisi cuf ni chama cha ukombozi sio chama cha maendeleo
 
Haramu ni haramu tu,kama nyama yake ni haramu basi hata supu yake ni haramu tu,hata mzoga wake pia ni haramu tu.
 
Nampongeza Mh Seif Shariff Hamad katibu mkuu wa CUF kugomea uchaguzi wa mkuu wa marejeo wa Zanzibar kwa kuwa aliamini atachezewa rafu na CCM kwa upande wa nafasi ya urais wa Zanzibar.

Lakini ni uamuzi ambao unawaumiza wafuasi wake hasa waishio Pemba kwa sab wamekosa wawakilishi ambao wangetokana na chama cha Cuf kwa kuwa asilimia 90 ya wakazi wa Pemba ni wafuasi wa Cuf.

Wanacuf kwa sasa wanahisi ubinafsi wa Maalim ndio uliopelekea kugomea uchaguzi mzima badala ya kugomea wa urais pekee ambao unamhusu moja kwa moja na angewapa nafasi ya kuchagua wawakilishi wanaowapenda.

Wanacuf wanajihisi wametengwa kwenye siasa kwa uchu wa madaraka wa mtu mmoja.

Wanacuf wanajihisi wamenyang'anywa silaha yao pekee ya kupambana na ccm kwa hoja ndani ya baraza la wawakilishi na kubaki nyuma kama simba kibogoyo kwa sab ya tamaa ya madaraka ya mtu mmoja.

Wanacuf hawajui hatima yao ya kisiasa kwani wanatarajia mapenzi ya Maalim Seif iwapo ataamua waingie kwenye uchaguzi angalau wa wawakilishi mwaka 2020 ama la na hata kama wakiingia wanahisi watakuwa wameachwa nyuma na mahasimu wao CCM kwahiyo kuwa kama wanaanza upya.

Je wakati wa Maalim Seif Kujiuzulu Umefika?
mzee naona ukatafute safari au chibuku tu uwakilishi wanini mavi ya kuku ccm inamuakilishi wewe mwenyemuakilishi umepata nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom