NAKUPONGEZA SANA MKUU KWA KUWA MKWELI, MUNGU AZIDI KUKUONGOZA KATIKA HAKI. Takbeeeerr! :welcome:katika dini ya wastaarabu.Usishangae sana watu wale hawajazoea socilization na dini zingine hivyo kwao kujiona wao ni bora si kitu cha kushangaza. Hata mimi nilipokuwa mdogo sikuwahi kuishi karibu na waislam. Sana sana nilisimliwa habari zao tena tofauti na wao walivyo kwa hiyo nilijenga negative atitude kwa waislam. Lakini nilipokwenda secondary na chuo kikuu nilibahatika kuwa na marafiki wa kiislam na nilishangaa kuona kuwa wapo wengi wao ambao ni wastaarabu kuliko hata wakristo wezangu.
So tuzidi kuwaweka karibu ili ili tuzoeane nao
Upuuzi mtupu...hulka chafu zipo kila pahala hazifanyi kuwa ndiyo sifa ya watu woote, msituletee upuuzi hapa!!
Upuuzi mtupu...hulka chafu zipo kila pahala hazifanyi kuwa ndiyo sifa ya watu woote, msituletee upuuzi hapa!!
Usishangae sana watu wale hawajazoea socilization na dini zingine hivyo kwao kujiona wao ni bora si kitu cha kushangaza. Hata mimi nilipokuwa mdogo sikuwahi kuishi karibu na waislam. Sana sana nilisimliwa habari zao tena tofauti na wao walivyo kwa hiyo nilijenga negative atitude kwa waislam. Lakini nilipokwenda secondary na chuo kikuu nilibahatika kuwa na marafiki wa kiislam na nilishangaa kuona kuwa wapo wengi wao ambao ni wastaarabu kuliko hata wakristo wezangu.
So tuzidi kuwaweka karibu ili ili tuzoeane nao