Wapemba na kuvunja muungano

Status
Not open for further replies.
Ni kundi haramu kwa sababu linavunja katiba ya nchi. Kujadili mapungufu ya Muungano hakuna ubaya, ila kuvunja Muungano ni uhaini because it is against the constitution! There are ways to air your dissatisfaction on every opinion, not by breaking laws of the country!! If everybody was to behave like UAMSHO, what will be the destination of this nation!!!

Nadhani wewe mwenyewe kwanza hujijui kabisaaa, kitu cha mwanzo uckurupuke kutuletea uzi wenye chuki na watu wa aina fulani(Wapemba), ikiwa unawachukia Wapemba nenda huko Zenji ukawaambie wenyewe usituhusishe na sisi, hapa JF hapakufai.

Halafu wewe inaonekana fikira zako ziko lower level kabisaa, ivo unadhani kuna Mtanganyika mwenye kuupenda huu muungano??? Ikiwa yuko basi huyo karogwa na akili za magamba na ufisadi mwingi, wewe mmojawapo.
Nikuulize Mkuu unamjua nani mhaini au unatuwekea porojo tu hapa ??? Labda nikujibu tu, Mhaini ni yule alouunganisha hizi nchi bila ya kuwashirikisha wananchi halafu kutufutia Tanganyika yetu.

ANGALIZO: Nenda kasome chanzo cha huu muungano na malengo yake, usikurupuke na kutuandikia pumba hapa,
ila samahani ikiwa nimekuudhi Mkuu ni maoni yangu!!!
 
wanaka muungano uvunjike ili wajinge na Mombasa Republican ili wafurahie biashara ya mirungi maana Tz yetu hiyo ni bidhaa haramu.

wewe ni mkimbizi kutoka Congo au Rwanda..kwa sababu hata kiswahili cha hapa Tanganyika hukijui vizuri sisemi hicho kiswahili halisi cha Zanzibar...wewe nenda kajifunze kiswahili kwanza halafu ndio uje katika jukwaa la Great thinker...**** mkubwa wewe...umesikia wapi kama Wapemba wanatumia mirungi, Mombasa ilikuwa ni Zanzibar na itafika muda wake itarudi vile vile kuwa Zanzibar pamoja na Mafia hata Bagamoyo pia:frusty:
 
Mtanganyika yeyote mwenye mapenzi mema kwa nchi yake anapaswa kuwaunga mkono hawa. You've nothing to loose muungano ukivunjika.

Sure brother...mimi hata huwa sipendi kuchangia hoja ya mtu kutoka bara anayeunga mkono uwepo wa muungano ilihali hatuna nchi yetu. Watu tunasema Muungano wa Ulaya ni mzuri, lakini muungano ule ni tofauti na huu muungano wa kijinga. Waache Wazanzibar wadai nchi yao huru ili nasi tubaki na Tanganyika yetu. Wasiopenda jina Tanganyika wahame watuache sisi Watanganyika asilia....Na wasupport wazenj wanaotaka kuvunja Muungano....kila siku nawaombea kwa Mungu harakati zao zifanikiwe ili bunge letu lipungue na kiswahili cha kishenzi kiondoke bara....REAALLY, WE HAVE NOTHING TO LOSE????
 
Hawa jamaaa kama watahitaj support ya Money niko tayar kuchangia
 
Watanzania, sio jambo jema la kulishabikia, kundi la uamsho huko Zanzibar linalo hubiri hadharani kuwa Muungano uvunjike!!!! Inawezekana tukasema tuwapuuze, lakini we have to think twice!! It is shocking kuwa wanapokuwa wanahubiri wakiuliza "nani anapenda muungano uendelee, uwanja wote unakuwa kimya, wakisema nani anataka Muungano uvunjike, majority wanaamsha mkono!!! Hawa sio wa kupuuza kama tunataka muungano uendelee kuwapo. Serikali inalifumbia macho kundi hili haramu. Tafakari, chukua hatua!!!

kinakushangaza nini wakati hata wachaga mna tabia hizo hizo na nawachaga nao waondoke zao waende wakaishi milimani huko mnazidi kutuzingua tu
 
Watanzania, sio jambo jema la kulishabikia, kundi la uamsho huko Zanzibar linalo hubiri hadharani kuwa Muungano uvunjike!!!! Inawezekana tukasema tuwapuuze, lakini we have to think twice!! It is shocking kuwa wanapokuwa wanahubiri wakiuliza "nani anapenda muungano uendelee, uwanja wote unakuwa kimya, wakisema nani anataka Muungano uvunjike, majority wanaamsha mkono!!! Hawa sio wa kupuuza kama tunataka muungano uendelee kuwapo. Serikali inalifumbia macho kundi hili haramu. Tafakari, chukua hatua!!!

Mambo ya Wazanzibari hayatuhusu kitu sisi Watanganyika sijawahi kuwaona wa zanzibari kufuatilia siasa za Tanganyika....Vile vile wazanzibarii hawahudhurii katika sherehe za muungano isipokuwa watu wachache wa serikali ya zanzibar...tafuta mtu anaejua historia ya Zanzibar akufundishe na wewe kama hujui Wahindi na waarabu wapo zanzibar zaidi ya miaka 300 wale ni wa zanzibar na utamaduni wao wanaishi kama wazanzibari wengine tu waunguja na wapemba!!! wewe na mimi na watanganyika wenzetu ndio tunatakiwa kuchukua Hatua
WATANGANYIKA TUAMKENI JAMANI KUPIGANIA TANGANYIKA YETU ILIYOFICHWA NA MAFISADI
WAZANZIBARI WAO WAMEUNGANA NCHI NZIMA KUDAI JAMHURI YAO YA ZANZIBAR

528785_326924737375163_100001729176510_847960_1663965971_n.jpg


Leo Lumumba hali ilikuwa hivi jee Muungano mnautaka au hamuutaki? hibu ndio hilo hapo wasioutaka wanyooshe mikono
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom