Wapare Wamewakosea Nini Jmn...?. Khaaa.

Hapana sio kweli. Mimi ni mpare halisi. chakula kikuu cha wapare ni makande sio wali
hii kwenye picha inawakilisha ubahili ulopitiliza, rejea mchuzi wa samaki mmoja anatumika wiki moja, anachemshwa anatolewa unabakia mchuzi
 
hii kwenye picha inawakilisha ubahili ulopitiliza, rejea mchuzi wa samaki mmoja anatumika wiki moja, anachemshwa anatolewa unabakia mchuzi

Hahahahah, Duh ujue MUNGU anakuona mkuu. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…