Kipindi nasoma same boys , nipo na mwanangu mmoja wa mwanza , hatuna ramani ya viroba kulandua kichwa ,na pcb imekaza kinouma lazima tuishtue na unyama fulani hivi😅
Tukazamia kitaa cha wapare , kusaka kazi ya kufanya tupate pesa , tukapata mchongo wa elfu 3000 kusafirisha trey la fulani dogo la mbao kijiji fulani masandale ndani ndani .
Hatukujali,goma tukalitoa tumaini hospital pale same mjini, kwa kichwa kufika hicho kijiji ni zaidi ya km 30 kutoka same boy , tuna shangaa mahali tumealikwa watu baada ya kufika sisi wanalia mno, kumbe mchongo tulipewa ni maiti ya mtoto kmamke, tena kwa mtonyo wa kijinga sana.
🥺😀😀🤪🙌🏿🏃🏿
Siku hiyo wapare walitambua mchaga ni mtu wa aina gani , hakuna shughuli iliendelea kmamke, na kwa mara ya kwanza nilitengeneza milioni moja yangu ya kwanza kibabe sana
Cc. ERoni Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli Mbaga Jr
Ulizidiwa ujanja tu. Hakuna mpare wa kukupa milioni 1 hata ungetishia kujinyonga. Mtu kesi ya kuku anauza nyumba iwe wewe unatupanga kuwa kutoka afu tatu ukapewa mioni 1... CHAIKipindi nasoma same boys , nipo na mwanangu mmoja wa mwanza , hatuna ramani ya viroba kulandua kichwa ,na pcb imekaza kinouma lazima tuishtue na unyama fulani hivi😅