Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,733
- 27,095
Weka kisa chako na jinsi gani ulivyofanikiwa kwepa kizinga au kukidhibiti.
Iwe katika mahusiano, biashara hata kwa watoto wakiwa bweni au vyuoni maana nao wameingia kwa kasi.
Nb: Ni kwa faida ya kujikinga kuvunjwa goti.
Iwe katika mahusiano, biashara hata kwa watoto wakiwa bweni au vyuoni maana nao wameingia kwa kasi.
Nb: Ni kwa faida ya kujikinga kuvunjwa goti.
nanyi natumaini mnapangua gia. Ruksa kuweka jinsi mnavyo jinasua
nshakutoka apo.