Wapangaji wenzangu wanandoa wanapigana sasa hivi

Kweli utoto raha, hapo ingekuwa game ungekuja fungua Uzi namna ulivyopiga vyombo kwa game la majiran
 
Ila jamani sikutegemea kama ningeleta umbea wa namna hii kwenu wakuu ni basi tu kuna vitu nimefikiria vinafurahisha mnisamehe. Iko hivi jamaa ana mke wake ambaye ni mama wa nyumbani wana mtoto mmoja (uzuri hawapo JF hawana hata smartphone so siwezi kushikwa kwa kuwasema humu ndani).

Ni wako chumba kinachofuata kutoka changu japo kuna siling board lakini nasikia yote wanayoongea kumbe siling board sometimes hazizuii sauti.

Sasa jamaa anampiga huyo mke wake case ni kwamba mwanamke kasuka nywele za saloon wakati hajamwachia hio pesa anamlazimisha atamnyoa hizo nywele demu analia ila analia kiromantical ni kama anadeka nahisi hata hajapigwa.

Ila kiukweli ma file yake sina huyu dada ila nauhakika ana kamchepuko fulani itakuwa kana mtoa viposho anyway mimi sijaoa wakuu ila nilichogundua kumbe wanandoa hawagombanagi serious ni kama kamchezo fulani tu cha kuonyesha uanamme na uanamke, jamaa sasa hivi anamwambia nyamaza nyamaza na uhakika na lazima atamla japo palikuwa na kakipigo.asee wanandoa hapana siwawezi nyie ni noma.

Update: Naona kimya ila ka mziki kwa mbali wamekafungulia nahisi tayar huko. Uzi ufungwe tu maana nilitaka ku prove ugomvi wa wivu wa kimapenzi mtiti wake, nimegundua mjomba na shangazi hawanaga ugomvi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huna cha kusifia sasa hivi

Kweli nimeamini mwana ccm akizeeka anakua mchawi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jirani nimekusikia! Acha kuja kutusema humu na midevu yako kama steel wire wewe, una uhakika nna kamchepuko? 🤔
Baby kumbe umo humu?? wewe tulia tu!! Usiogope wala nini..huyu anajiona mjanja anadhani hatumo humu...

leo lazima tupige show ya mauzi,yaani ile ya kufa mtu mpaka akome ata hama bila kupenda Au afe na minyege yake nakwambia ..

usisahau ukelele uleee wa sauti ya kwanza.si unakumbuka???
 
Ila jamani sikutegemea kama ningeleta umbea wa namna hii kwenu wakuu ni basi tu kuna vitu nimefikiria vinafurahisha mnisamehe. Iko hivi jamaa ana mke wake ambaye ni mama wa nyumbani wana mtoto mmoja (uzuri hawapo JF hawana hata smartphone so siwezi kushikwa kwa kuwasema humu ndani).

Ni wako chumba kinachofuata kutoka changu japo kuna siling board lakini nasikia yote wanayoongea kumbe siling board sometimes hazizuii sauti.

Sasa jamaa anampiga huyo mke wake case ni kwamba mwanamke kasuka nywele za saloon wakati hajamwachia hio pesa anamlazimisha atamnyoa hizo nywele demu analia ila analia kiromantical ni kama anadeka nahisi hata hajapigwa.

Ila kiukweli ma file yake sina huyu dada ila nauhakika ana kamchepuko fulani itakuwa kana mtoa viposho anyway mimi sijaoa wakuu ila nilichogundua kumbe wanandoa hawagombanagi serious ni kama kamchezo fulani tu cha kuonyesha uanamme na uanamke, jamaa sasa hivi anamwambia nyamaza nyamaza na uhakika na lazima atamla japo palikuwa na kakipigo.asee wanandoa hapana siwawezi nyie ni noma.

Update: Naona kimya ila ka mziki kwa mbali wamekafungulia nahisi tayar huko. Uzi ufungwe tu maana nilitaka ku prove ugomvi wa wivu wa kimapenzi mtiti wake, nimegundua mjomba na shangazi hawanaga ugomvi.
Acha mambo ya kike
 
Nipo babe, jamaa anatuletea umbea humu leo tutamnyoosha kwa mikelele ya malovee😂😂
 
Umbea!!
 
Hii inaitwa nikiripoti live kutoka katika eneo la tukio,ni mimi mtangazaji wako ndege john kutoka jamii forumssss,
 
Haya sasa na wewe itafute jamaa ilipo ukaoge [emoji23][emoji23]
Mkuu aende kuoga na jamaa?? Hiyo sabuni mbona ina jina baya kwa ME, kweli zama zimebadilika... hata matangazo ya Geisha hatyasikii tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom