Wapangaji wenzangu wanandoa wanapigana sasa hivi

Wapangaji wenzangu wanandoa wanapigana sasa hivi

Father house usitufokee ujue! Tutakuunganisha na huyo mpangaji mdundwe wote, pia Kupanga chumba ni kumiliki kwa mda hivo tuna uhuru wotee usitupangie matumizi 😂
Financiallllllllly,....Ila kiukweli hio hela ya kusuka rasta kwa mmasai(Njeree) uliipatia wapi wkt jamaa aliacha buku 3 ya mboga?...tuanzia hapo kwanza bi mdashi
 
Father house usitufokee ujue! Tutakuunganisha na huyo mpangaji mdundwe wote, pia Kupanga chumba ni kumiliki kwa mda hivo tuna uhuru wotee usitupangie matumizi [emoji23]
We binti wew, shika adabu na adabu ikukumbate, usinichongee mdomo kama chuchunge vile, ama kweli kila kitu na zama zake enzi zangu bita ya kagera nimechapa makomandoo wa kilibya, muhamad ali pambano lake lile pale congo rumble in the jungle, mbinu zote kachukua kwangu, kisha we nyama unaniletea maneno kama cherahani..

Mniunganishe kwani nimekatika, kama hiyo hela yenu ya kodi mnaona mali itandikeni chini, muweke godoro na vyombo vyenu mlalie, alaa.. Kwa kodi yenu ya 40 elfu ndio mnipangie, hiyo pesa yenu hata mifuko 3 ya cement hupati shwaini

(kimoyomoyo) nendeni ndani muamze mechi tuje kupiga chabo sie.
 
Father house mnoko wewe! Eti kodi ya 40k mbona ndiyo inayokuendeshea maisha na tukichelewesha unanuna, kwanza hili pagale lako baya na hata tukihama sidhani kama utapata wapangaji wengine humu.

Na leo hatupigi mechi hivo chabo hampati hata robo😂
 
Financiallllllllly,....Ila kiukweli hio hela ya kusuka rasta kwa mmasai(Njeree) uliipatia wapi wkt jamaa aliacha buku 3 ya mboga?...tuanzia hapo kwanza bi mdashi
Saving hiyo mkuu, hizo buku 3 napika msosi wa buku jero nyingine nasave sasa piga hesabu for 2 weeks nikisave hivo si napata pesa ya kusukia kabisa! Jina lenyewe financial services mkuu😂
 
Father house mnoko wewe! Eti kodi ya 40k mbona ndiyo inayokuendeshea maisha na tukichelewesha unanuna, kwanza hili pagale lako baya na hata tukihama sidhani kama utapata wapangaji wengine humu.

Na leo hatupigi mechi hivo chabo hampati hata robo[emoji23]
Mnoko ndio maana nina mjengo wangu, na kwataarifa yako sina moja tu hii, nisipate wapangaji wengine kwani nyie ndio wa kwanza shenzi.

Sasa niwafurahie wakat mmechelewesha kodi yangu, kwani unadhani nilijenga kwa ajili ya kutoa msaada hii, we si unajidaigi mjanja ukipika nyama najipitisha unajidai huoni, sasa mtahama humu.

We elfu 40 unaiona ndogo, chumvi ya elf 40 unamaliza!?
 
Father house mnoko wewe! Eti kodi ya 40k mbona ndiyo inayokuendeshea maisha na tukichelewesha unanuna, kwanza hili pagale lako baya na hata tukihama sidhani kama utapata wapangaji wengine humu.

Na leo hatupigi mechi hivo chabo hampati hata robo[emoji23]
Kwanza mtoto mzuri kama wewe unakaaje na huyo fala, kaishi miaka ya tembo hana hata kibanda anaoanga panga, eehh, tizama jumba loote hili, halina mama mwenye nyumba, nikubali mimi binti, vyumba hivi vyoote vya uwani kodi unazuia wewe, ile nyumba ya tabata utakusanya ww kodi, kinondoni wewe, kigamboni zoote zile mbili wewe.. Mtoto mzuri kama ww jamaa anakufuja bure, mtot miaka 27 ngozi ngumu kama mamba.. Njoo kwa wazee tunaojua kulea bibie.. We mwanaume miaka nenda miaka rudi hata mahari hajakulipia, anakutumia kama mkopo wa FINCA

Jamaa akikupa kodi ya miezi ujao, we mwambie ushanipa lakini ichikichie, hakikisha anakupa ya miezi mi3 mtoto mzuri eeh!! Halaf unakuja kule STAY IN STYLE LODGE nikuoe mkataba, sawa bibie eeh..
 
Saving hiyo mkuu, hizo buku 3 napika msosi wa buku jero nyingine nasave sasa piga hesabu for 2 weeks nikisave hivo si napata pesa ya kusukia kabisa! Jina lenyewe financial services mkuu[emoji23]
Tabu zoote hizo za nini binti, njoo kwa mzee nikutunze hapa, wew sio wa kusave buku jero, km konda wa gari za mkuranga [emoji23]mtoto mzur km ww unakulaje buku jero.. Njoo huku ujichane.. Kila siku asubuhi unapata TUNA [emoji225] mmoja wa supu asubuhi na chapati za mayai...
 
Huo ni kama ugomvi wa watoto, ukiwaona watoto wanagombana nyinyi watu wazima msiwaingilie, waacheni, baada ya dakika chache watoto wanapatana na wanaendelea kucheza pamoja
 
Tabu zoote hizo za nini binti, njoo kwa mzee nikutunze hapa, wew sio wa kusave buku jero, km konda wa gari za mkuranga [emoji23]mtoto mzur km ww unakulaje buku jero.. Njoo huku ujichane.. Kila siku asubuhi unapata TUNA [emoji225] mmoja wa supu asubuhi na chapati za mayai...
Hahahahahahah kmmmk hii kali😅😅😅
 
Financiallllllllly,....Ila kiukweli hio hela ya kusuka rasta kwa mmasai(Njeree) uliipatia wapi wkt jamaa aliacha buku 3 ya mboga?...tuanzia hapo kwanza bi mdashi
Most of our wives are sponsored by poor young men. Few of our wives sponsor poor young men.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio maana halisi ya maisha, sio mtu kila siku unakaa kujifanya uko serious tuuuuu.........
 
Ila jamani sikutegemea kama ningeleta umbea wa namna hii kwenu wakuu ni basi tu kuna vitu nimefikiria vinafurahisha mnisamehe. Iko hivi jamaa ana mke wake ambaye ni mama wa nyumbani wana mtoto mmoja (uzuri hawapo JF hawana hata smartphone so siwezi kushikwa kwa kuwasema humu ndani).

Ni wako chumba kinachofuata kutoka changu japo kuna siling board lakini nasikia yote wanayoongea kumbe siling board sometimes hazizuii sauti.

Sasa jamaa anampiga huyo mke wake case ni kwamba mwanamke kasuka nywele za saloon wakati hajamwachia hio pesa anamlazimisha atamnyoa hizo nywele demu analia ila analia kiromantical ni kama anadeka nahisi hata hajapigwa.

Ila kiukweli ma file yake sina huyu dada ila nauhakika ana kamchepuko fulani itakuwa kana mtoa viposho anyway mimi sijaoa wakuu ila nilichogundua kumbe wanandoa hawagombanagi serious ni kama kamchezo fulani tu cha kuonyesha uanamme na uanamke, jamaa sasa hivi anamwambia nyamaza nyamaza na uhakika na lazima atamla japo palikuwa na kakipigo.asee wanandoa hapana siwawezi nyie ni noma.

Update: Naona kimya ila ka mziki kwa mbali wamekafungulia nahisi tayar huko. Uzi ufungwe tu maana nilitaka ku prove ugomvi wa wivu wa kimapenzi mtiti wake, nimegundua mjomba na shangazi hawanaga ugomvi.
Mkuu ebu panda juu ya ceiling board ukawapige chabo na kuchukua video....nina mashaka namfahamu huyo mchepuko wangu. Fanya hivyo, una chupa ya togwa hapa na mishikaki 3 na ndizi choma 2.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom