Wapalestina milioni 1 kuhamishiwa Libya permanently

Si waletwe Dodoma jamani! Tumechka kukaa na wasandawe na wagogo huku Dodoma. Waletwe Dodoma bwana labda hao siyo wabishi kama Warangi.
 
Watu 5000 hawajazi hata jukwaa moja la kwa mkapa hapo, wachache sana hao.
Hao ni kati ya waliotangulia wengine watafuata tu watake wasitake!!
Lakini kiukweli Gaza si salama kwa kuishi watu bora tu waende Libya wakaishi kama raia wema!!
 
Hawawezi kukubali kuiacha Gaza kwa sababu zifuatazo

1. Ardhi ile ni ardhi takatifu, hawawezi kuacha dhahabu kwa kipande cha chupa

2. Gaza kuna utajiri wa gesi baharini, kamwe hawawezi kuachia utajiri huo kwenda ukimbizini.

3. Kuna Masjid Al-Aqsa pale, kamwe hawawezi kuuacha, Majority wako radhi kufa kuliko kuuacha huo msikiti.

4. Wapalestina wanaamini hata wakiuliwa kwa dhulma, wanaenda peponi. Wameshauliwa sana, wamezoea na wako tayari kufa. Watu wa aina hiyo usidhani wana mzuka kiviiile wa kukimbia nchi yao.

5. Huu ukatili wa Wayahudi kwa Wapalestina unakaribia kubackfire kwa Wayahudi, dunia inaona, mwamko ni mkubwa, pubkic opinion marekani ibabadilika, na Marekani kuendelea kuikingia kifua Wauaji wa Kiyahudi ni unsustainable.

Hii ya kuhamisha Wapalestina ni mpango mfu hautojwenda popote!
 
Habari ya ardhi takatifu ni geresha ya wazungu ili watutawale sisi tulioletwa dini. habari ya kuwa na gesi baharini ni sawa. Habari ya Msikiti wa Al-Aqsa haiwezi kuwafanya waendelee kufa kwa ajili ya msikiti, unaweza kuvunjwa muda wowote na wahuni kama ambavyo hekalu takatifu zaidi la Suleiman ilivyovunjwa na wahuni kutoka babiloni ukaja kumaliziiwa na wahuni kutoka Roma. Hilo la Wapalestina kufanyiwa dhulma katika ardhi yao ni sawa kabisa maana hata kwa kutumia maandiko haya haya ya dini ya Wakaloni Gaza haijawahi kuwa chini ya Wayahudi katika Mgawanyo alioelekezwa Musa na Joshua. waliambiwa Gaza inabaki kwa Wafilisti. Ile ni ardhi halali ya wapalestina. Lakini dunia ya Mabeberu imewasaliti na inafanya kila juhudi ardhi ya Wapalestina iende kwa baberu mwenzao.

hili la ukatili dhidi ya wapalestina ku backfire sioni ikitokea maana beberu wameungana na watu wema wameamua kuwa kimya. nani wa kuwatetea hawa ndg tena zaidi ya kuondolewa ama kwa nguvu au kwa hiari yao?
 
Walibya wameshtukia serikali unataka mlungula saivi Kuna mgomo wa kufa mtu hawataki huo ujinga hii dhuluma iende Kwa wazingu huko.

recent sequence of events in Libya correctly:

1. US makes a secret deal to displace 1 million Palestinians in exchange for releasing siezed Libyan funds.

2. The Libyan people find out and begin protests.

3. US announces the displacement plan, and some of the government officials are now quitting to distance themselves from the deal.

Did I miss something, or are there other reasons for the unrest in Libya?
 
Wapalestina ndiyo wanaenda huko wewe unataka kulazimisha na waisrael waende huko? Wapalestina wakienda yatosha!!!!
Kwani ao Wapalestina wanaenda kwa kutaka wenyewe? si wanalazimishwa lazima waondoke wapishe makazi ya walowezi?
 
Miaka 2 ya wapi? Oct 07,2023 mpaka leo ni miaka 2 ? Unahesabu kiarabu?
Mtoto akizaliwa au mtu akianzia kazi ana hesabiwa mwaka alio anza kazi au mwaka aliye zaliwa ha hesabiwi mwezi. OK we kwa kuwa kenge hesabu imebaki miezi mitano Tuna kupa mwaka zaidi tuone kama Gaza mtaiweza kuitawala.

Si bora warabu wana calendar zao myahudi hata calender hana anategemea ya warumi hahahaha
 
On
Hawawezi kukubali kuiacha Gaza kwa sababu zifuatazo

1. Ardhi ile ni ardhi takatifu, hawawezi kuacha dhahabu kwa kipande cha chupa

2. Gaza kuna utajiri wa gesi baharini, kamwe hawawezi kuachia utajiri huo kwenda ukimbizini.

3. Kuna Masjid Al-Aqsa pale, kamwe hawawezi kuuacha, Majority wako radhi kufa kuliko kuuacha huo msikiti.

4. Wapalestina wanaamini hata wakiuliwa kwa dhulma, wanaenda peponi. Wameshauliwa sana, wamezoea na wako tayari kufa. Watu wa aina hiyo usidhani wana mzuka kiviiile wa kukimbia nchi yao.

5. Huu ukatili wa Wayahudi kwa Wapalestina unakaribia kubackfire kwa Wayahudi, dunia inaona, mwamko ni mkubwa, pubkic opinion marekani ibabadilika, na Marekani kuendelea kuikingia kifua Wauaji wa Kiyahudi ni unsustainable.

Hii ya kuhamisha Wapalestina ni mpango mfu hautojwenda popote!
Ongeza na pale gaza wanapewa chakula bure na mahspital bure shule bure na wana shirika lao spesho la misaada kwa ajili yao laitwa unrwa huko watakako pelekwa itabidi wafanye kazi ili kupata mahtaji yao.kwahyo changamoto ipo wazi
 
Back
Top Bottom