Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Sawa bwana Mungi ! hongera sana na Allah aibariki familia yako. Ila mtoto anafana na mimi kaa ukilijua hilo, na kaa ukijua damu ni nzito kulikoa maji, ipo siku mtoto atanitafutaMkuu hafanani na mimi bali anafanania ka mtoto hahaaa
Poa swahiba , kama una chochote pia nipe nitamfikishiaSio mbaya swahiba mradi hongera zimefika!
Poa swahiba , kama una chochote pia nipe nitamfikishia
Mie, mwenyewe ni GermanSherphed bwana.... Jioni Njema MkuuUtani wa ngumi huo...hivi unajua maana ya GermanSherpherd ww? Mungi atakuonesha walivyo!