Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,533
- 32,756
hahaha mbavu zangu mie dah hata flay screen ya mwaka 1998 ina uwafadhaliHiyo hapo![]()
hahaha mbavu zangu mie dah hata flay screen ya mwaka 1998 ina uwafadhaliHiyo hapo![]()
Wanaona Mungu alliwakosea so wanafanya marekebisho kidogoKila wakati wanaume wanapiga kelele huku kuwa wanapenda wanawake wenye "mikia"..wenye akili za kushikiwa wanahadaika na kutafuta ya kichina. Wanaweka afya zao rehani kwa ajili ya kuwaridhisha viumbe ambao hawakuzaliwa nao na wala hawatakufa nao.
sawa,yakiwatumbukia nyogo wakubali matokeo,sio kuanza kuhangaisha jamii. Kama huyo si ajabu ndugu wanahangaika sasa kutafuta pesa apelekwe nje kwa ujinga wake.Wanaona Mungu alliwakosea so wanafanya marekebisho kidogo