Waoaji wapo ila hawana hela

Katunzweni kwenye vituo vya wasiojiweza au mkajiandijishe TASAF..! Mnakera nyie mabinti

Mnataka mtuweke ndani tumekuwa picha? Hata picha inahitaji matunzo.

Fanyeni ibada mjiepushe na zinaa mpaka mtakapokuwa na uwezo wa kutunza mke.
 
Hakyani nimekaa mama twende huku nafika huko nanunuliwa kiatu na simu kwanini nisione (RAHA MKUU)? Bado nikiwa nyumbani lazima nipokee mzigo na ninavyopenda kupokea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji127][emoji127]
Nakuonya kwa mara ya mwisho... mimi sio "mkuu" mimi ni "babu" yenu.

Usije ukasema sijakuonya ...
 
Hahaaaa. Duuh.

Sijawahi ona umeandika maneno ya kukatisha tamaa kama haya ya leo rafiki.

Hivyo awe na Subira sababu mwenyewe bado upo upo. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12].
Hahah!!...

Unavyoongea kama nimekuambia yupo vile [emoji23]

Ila akipatikana ndio awe na subira
 
Utaoaje bila kua na hela...

Utamtunzaje mtoto wa watu? Utaitunzaje familia yako? Sifa ya mwanaume bora ni pamoja na kumiliki fedha...


Cc: mahondaw
 
Nikutunze kwani wewe kumbukumbu? Nikuweke ndani kwani wewe sofa? ati unakunywaa, unavaaa, kwani huna wazazi? KILA MTU AFANYE KAZI...Ndoa haina uhusiano wowote na Pesa.
 
Na waolewaji wanataka hela [emoji23] ngoma droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…