]Ni kweli kuna shida kwenye heading.Kwa kadri ninavyofahamu serikali ya Z'bar haina shida na uuzaji wa pombe, hata leo ukienda kuomba leseni ya kuuza pombe watakupa. Tatizo lipo kwa baadhi ya wananchi. Japokua serikali inaundwa na wananchi, lakini kwenye issue ya Pombe wanatofautiana.Nilitegemea hao wananchi wanaopinga pombe wajitokeze kuikemea serikali kwa kupokea msaada kutoka TBL. Lakini kwa hali ya sasa hawawezi kwani karibia kila familia inamsiba kule. Labda majonzi yakishapungua watajitokeza.[/