Wanywaji wa Soda hatarini

Kama unakula kitimoto na unaponda soda....hamna kitu unachokifanya
Situmii vitu hivyo kabisa mkuu.Namjua nguruwe wa kufugwa vizuri na naelewa madhara ya soda vizuri.
 

soda mimi nakunywa kama kawa, siku sumu ikijaa ntakufa kama ndio itakuwa sababu ya kifo changu. landa uniambie yupi hata mmoja hajanywa soda mpaka leo anaishi tokea karne ya 19
 
Mawazo backward na ya kijinga sana haya! A Tanzanian at his best.

Mkuu vipo vifo vya kijinga na kufa prematurely kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika ni ujinga na mtu mwenye busara na hekima anaepuka kufa kijinga.
Haya endelea kuepuka wewe mwerevu
 
soda mimi nakunywa kama kawa, siku sumu ikijaa ntakufa kama ndio itakuwa sababu ya kifo changu. landa uniambie yupi hata mmoja hajanywa soda mpaka leo anaishi tokea karne ya 19
Sawa mkuu, endelea,ila hiyo ni logic na msimamo wa ajabu sana,mbona soda sio chakula?Labda unahitaji kuhoji kwa nini unapenda kitu ambacho wala hakina manufaa yeyote mwilini mwako kiasi hicho.Jibu ni kwamba wewe umeshakuwa addicted na caffeine na cocaine walizoweka huko.Hata hivyo with determination naamini unaweza ku-break hiyo addiction.Mbona mimi niliweza many years ago.Ila pole.
 
ASILI YA NENO COCA COLA NI MMEA WA COKE AMBAO NDIO SOURCE YA COCAINE KWA HIYO NASIKITIKA WALE WANAOILANI POMBE HUKU WAKIBUGIA SODA NA NDIO MAANA UKIMALIZA MOJA UNATAMANI INGINE KWA AJILI YA HIYO ILI UWE ADDICTED 😱😱😱😱😱😱😱😱😱
 
Thibitisha acha porojo
 
Mkuu umechanganya madawa sana!Ngoja tuweke mambo sawa.

Coca Cola ni kinywaji mkuu, ambacho kimechanganywa na Cocaine kiasi kidogo na kemikali nyingine.Hii cocaine kidogo ina nia ya kuifanya Coca Cola iwe addictive.Wamechanganya pia na Caffeine kwa nia hiyo hiyo. Cocaine inaitwa pia Coke, na ni very addictive.Cocaine inatokana na mmea unaoitwa Coca ambao unalimwa sana South America.
 

porojo
 
Enjoy vinywaji vya soda mkuu - anngalia sukari tu - hicho ndio kibaya kwenye soda mengine ni hadithi tu hayana ukweli
 
Imeandikwa "Watu wangu wanaangamizwa kwa Kukosa maarifa"
Sishangai sana kuona kuwa kunawatu ambao wanapuuza mambo ya msingi!
Leo hii ukienda Kwenye mahospitali Watu kibao wanaumwa magonjwa yasiyo ambukiza ambayo kimsingi kwa asilimia kubwa yanaepukika!
Imeandikwa " Mkamate sana elimu usimwache aende zake maana Ndiyo uhai wako"
Nimekuwa nikitafali kwa kwa nini Mungu amesema elimu ni uhai?
Maarifa yana muwezesha Mtu kuepuka kuangamia!
Mtu anaambiwa epuka kula vyakula vyenye mafuta mengi, chumvi nyingi, sukari nyingi hasa Za viwandani, epuka vyakula vinavyohifadhiwa (preserved foods), epuka vyakula vilivyo chakatwa(processed food) n.k lakini waTZ walio wengi wanapuuza!
Sasa Mtu atakapoanza kuumwa ndo anaambiwa na Dokta siyo tu atumie kidogo anaambiwa usitumie kabisaaaa!
Na gharama Za Kutunza wagonjwa ni kubwa kuanzia madawa na vyakula!
Wengine wakipata ugonjwa anaambiwa ale Dawa na maisha Yake yote akaacha anaondoka !
Mwenyezi Mungu nakuomba uzidi kutunusuru na mabaya yote! Yatuepuke mabaya Baba!
 
Yaani ndiyo mnajua sasa wakati watu wameshaumia.Too little to late.Ndio maana mimi siiamini serikali yeyote duniani.Kama wanaruhusu wananchi kuuziwa sumu, tutawaaminije kwenye C-19 vaccines.Upuuzi mtupu.
 
Kama unajua kitu fulani ni kibaya na kina madhara, leave it, look for alternatives.Uteja wa pepsi unakupeleka jehanam quick!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…