Wanywa castle light

Wanywa castle light

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,521
Reaction score
6,517
Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno
 
Mrudie Mungu wako wewe
 
Castle lite inaleta heshma ndani ya ndoa. jaribu leo utaona mwenza atakavyo badilika.
 
Mada ni CASTLE LITE na inavyoleta heshma ndani ya ndoa na sio dini au imani za wengine. Inawezeka kabisa kuchangia na kufurahishana bila ya kkuingilia uhuru wa mwengine na imani yake.

Nachukia sana wanaobadilisha kila mada iwe ya kidini
 
Kila mtu ana sababu yake ya kunywa anachokunywa..
---Wapo wanaotaka kulewa
---Wapo wanaotaka kuburudika tu
---Wapo wanaopenda ladha na harufu ya kinywaji tu(mfano wanaopendelea BALTIKA)
---Wapo wanaofata mkumbo
---Wapo wanaomini kuwa wanavutia au wanajiongezea mvuto ikiwa wataonekana wanakunywa aina fulani ya kinywaji.

Siku moja nilikutana na mzungu bar akawa anashangaa kwanini waAfrika wengi wanatumia pesa nyingi na muda mwingi kunywa bia nyingi na kukaa bar muda mrefu ili tu kulewa, ilhali wanaweza kutumia pesa kidogo kunywa vinywaji vikali na wakalewa haraka hinvyo kutopoteza muda mwingi bar.:behindsofa:
 
Mkuu wewe kwa ushauri huo wa huyo mzungu, ulichagua upi ambao ungekufaa bila kujali kama unakunywa au la!
 
Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno

Kanywe safari kama unataka kulewa!
 
Mkuu umekunywa Kesto Laiti au Amarula?

Kumbe kuna wakati una adabu. nimekunywa castle lite baridi. namalizia chupa mbili za mwisho napitia meeda kupozwa na dada poa wa bei poa halafu narudi home
 
Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno
Light beers ndio mpango mzima siku hizi kama hutaki kitambi wala hangover.
 
Bia ya mazungumzo hiyo mkuu. Drink responsibly!!!!!!!
 
Mkuu wewe kwa ushauri huo wa huyo mzungu, ulichagua upi ambao ungekufaa bila kujali kama unakunywa au la!
Teh teh naendelea na vi-castle lite kwa kuwa nakunywa kuburudika tu.
 
Kila mtu ana sababu yake ya kunywa anachokunywa..
---Wapo wanaotaka kulewa
---Wapo wanaotaka kuburudika tu
---Wapo wanaopenda ladha na harufu ya kinywaji tu(mfano wanaopendelea BALTIKA)
---Wapo wanaofata mkumbo
---Wapo wanaomini kuwa wanavutia au wanajiongezea mvuto ikiwa wataonekana wanakunywa aina fulani ya kinywaji.

Siku moja nilikutana na mzungu bar akawa anashangaa kwanini waAfrika wengi wanatumia pesa nyingi na muda mwingi kunywa bia nyingi na kukaa bar muda mrefu ili tu kulewa, ilhali wanaweza kutumia pesa kidogo kunywa vinywaji vikali na wakalewa haraka hinvyo kutopoteza muda mwingi bar.:behindsofa:

Yaani mijitu mingine inaona kila mzungu ana akili au kuulizwa na mzungu ni ujiko. Kwa nini hukusema nilikaa na jamaa yangu foreigner. Mzungu gani huyo anakunywa sinza mapambano kama sio lkiraka tu huko kwao.
 
Naona umepanic bro.
--Unahisi kila atajaye mzungu basi amemtukuza!!!Huku ni kupanic
--Kwanini unafikiri mzungu niliyekutana naye bar ni lazima atakuwa jamaa yangu tena foreigner!!!Hapa pia umepanic
--Unahisi kuwa nimemtaja mzungu hapo ili kuunogesha ushauri wake kuwa ni mzuri!!!Hapo umepanic
Mzungu ni mzungu tu na mwafrika atabaki kuwa mwafrika na wala mzungu hawi bora kwa kuwa katajwa na mwafrika.
Pia kushangaa kwa mzungu hakufanyi mwafrika aonekane kakosea.
Hii ni dunia huru bro usipanic.
 
Back
Top Bottom