Wanyarwanda na akili zao

Wanyarwanda na akili zao

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2022
Posts
9,591
Reaction score
13,638
Baada ya kupotea kwa mda mrefu...nimerudi mda huu.
Katika pitapita zangu kilingeni drc...a.k.a
shamba la bibi kuna vitu nimeona
mengi ya kusikitisha kuliko kufurahisha.
Story zote nilizoishia katikati nitazimalizia...msijali.
Leo tuzungumzie wanyarwanda na akili zao 🇷🇼🇷🇼.
Wakati m23 wanachukua udhibiti wa maeneo kule drc mwshariki...unajua wanyarwanda walikua wanawaza nini??
Akili za wanyarwanda
turudi nyuma toka enzi za habyarimana
miaka ya sabini mpaka sasa.

1 : tuzungumzie wahutu
***********************
wahutu wanaamini kua wao ndio watu wa mipango mpangiko...nimetumia code hapo
wahutu wanaamini matokeo ya madhira yote yanayowapata ni matokeo ya ukoloni wa watusi na wakoloni wa kutoka ulaya.
Kabla ya ujio wa wakoloni kutoka ulaya..jamii nyingi za wahutu zilikua chini ya ukoloni wa watusi kwa mda wa miaka zaidi ya 600.....eneo kubwa la mashariki ya kongo ya leo na rwanda.
Kwahiyo wahutu wana mtazamo wa kuwalaumu watusi kwa madhira yao.
Akili za wahutu zipoje
1 : wana chuki za waziwazi kwa watusi sababu wamekaririshwa vizazi na vizazi
watusi walichukua ardhi yetu
watusi walichukua mifugo yetu
watusi waliua mababu zetu
watusi ni wageni tu
siasa zao ni za kututawala
siasa zao ni za kibaguzi
watusi ni wezi na wabaguzi
walipendelewa na wakoloni
*******************************
hizo ndio akili za wahutu popote pale walipo duniani toka miaka ya sabini mtazamo huu umeota mzizi
hiyo ndio iliyosababisha mauaji ya kimbari 1992 mpaka 1998
Wanyarwanda waliuuana ndani ya rwanda 🇷🇼 mpaka mashariki mwa drc 🇨🇩
mtazamo huu ni wa pande zote mbili
2 : Tuzungumzie watusi
*************************
watusi wao wanaamini kua wao ni jamii bora kuliko jamii zote zinazopatikana hapa afrika mashariki na kati.
Wanaamini kua wanasitahili kusimamia uongozi na kila kitu dhidi ya jamii zingine.....!!

Huu ni mtizamo wa wazi wa jamii za kitusi na waga hausemwi hadharani ila unajulikana.
Hawana tofauti na mtazamo wa jamii za kisomali dhidi ya jamii zingine.
Akili za watusi zipoje
**************************
1 : watusi wanaamini kua wao ni bora kuliko wabantu wengine hivyo hawasitahili kutawaliwa na mbantu yoyote yule,popote pale duniani
2 : watusi wanaamini wao ni vizazi bora vyenye nasaba na koo za kifalme zilizotawala uhabeshi ya kale.
Hivyo wana asili ya kua na kiburi, ujeuri na dharau na ubishi wa hali ya juu katika kila nyanda ya maisha.
3 : watusi wanaamini wasipojichukulia sheria mkononi basi kizazi chao chote kitaangamizwa na mahasimu wao...sana sana wahutu na jamii nyingine za kibantu.
4 : watusi wana mtazamo wa kuhisi wao ni watu wa vita siku zote ili kutetea masilahi yao.
Wanaamini masilahi yanatetewa kwa vita na sio majadiliano au hoja.
Hivyo ugomvi wao na jamii nyingine za kibantu wanaamini msimamo huu umewasaidia sana.
**********************************
sasa turudi kwenye misimamo ya wanyarwanda wenyewe kwa ujumla na akili zao.
Kwa wanyarwanda
wakongomani adui kwao
warundi wabaya kwao
watanzania wabaya kwao
kila mtu adui yao.
Na wao kwa wao ni maadui
wanabaguana
hawapendani
kama una roho nyepesi huwezi kuishi na wanyarwanda sababu ya ujuaji wao
kila kitu wanadai wanajua na ndivyo walivyo siku zote
tutaendelea........!!!
 
Why all CAPS? :Clueless:

Kwa maoni yangu, generalizations za kusema watu fulani wako hivi huwa zinakuwa na chumvi nyingi ndani yake.

Mamilioni ya watu hawawezi kuwa na mtizamo mmoja. Unaweza kuta wenye mawazo hayo ni extremists wachache tu ila wana kelele nyingi.
 
Huo ndiyo ukweli wenyewe. Hitimisho,, watusi ndiyo tatizo. Mkorofi ni mtusi. Huwezi kuishi kwa kutamani kuwakandamiza wengine miaka yote. Huwezi kujipa umuhimu, umaalum na upekee kuliko jamii nyingine wanaokuzunguka. Tulioishi na watusi tunakubaliana na uchambuzi wa mtoa mada.
 
Back
Top Bottom