Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Urambo enzi hizo (1951)!
View attachment 40603Iyo staili ya nywele ya uyo jamaa wa kushoto ilikuwa inaitwa "way" yaani nywele ziachane kama za mzungu vile!
View attachment 40604Hata enzi hizo miembe ilikuwa mingi. Waafrica wanachimbua tairi wakati wazungu wameshika mikono. Kama inavyokuwa sasa (historia inajirudia)!
Mambo land Rover 109 hilo
kabisa mkuu, tena hii ni series one.
Miafrika imezoea kutawaliwa kila siku tutakuwa Watu wa kutawaliwa mpaka mwisho wa dunia. MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYOUrambo enzi hizo (1951)!
View attachment 40603Iyo staili ya nywele ya uyo jamaa wa kushoto ilikuwa inaitwa "way" yaani nywele ziachane kama za mzungu vile!
View attachment 40604Hata enzi hizo miembe ilikuwa mingi. Waafrica wanachimbua tairi wakati wazungu wameshika mikono. Kama inavyokuwa sasa (historia inajirudia)!
Urambo enzi hizo (1951)!
View attachment 40603Iyo staili ya nywele ya uyo jamaa wa kushoto ilikuwa inaitwa "way" yaani nywele ziachane kama za mzungu vile
View attachment 40642Hapo ni ngoma ya maswezi huko Urambo (1951). Kabla ya ngoma kwanza hao wa-maswezi wanakunywa pombe ya kienyeji kupandisha stimu. Khanga zilikuwepo hata kabla ya Uhuru.
View attachment 40643Stesheni ya treni ya Urambo (1951). Asali kwa wingii sehemu hizo!!!

Kuna baadhi ya gari mpaka leo zipo japo zina ignition kama landrover 109 ikigoma kupiga unazungusha handle badala ya kuomba watu wakusukume
Gari hizi wakati huo hazikutumia ignition kuliwasha kama siku hizi, magari haya yalikuwa yanawashwa kwa kutumia mtalimbo (handle) kama baadhi ya engine za kuendeshea vinu vya kusaga zinavyowashwa. Handle ilikuwa mbele, hivyo unapowasha hakikisha umeweka kurungu cha gear (gear transfer) kwenye neutral, vinginevyo likishawaka linakuparamia. Tekinologia hadi kufikia tulipo imetoka mbali na wengine hata hatuju magari wakati wanapata uhuru waliwashaje kumbe ni kwa handle.
Urambo enzi hizo (1951)!
View attachment 40603Iyo staili ya nywele ya uyo jamaa wa kushoto ilikuwa inaitwa "way" yaani nywele ziachane kama za mzungu vile!