Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Kondoo nakubaliana na wewe 100%, na kama itakuwa ni malishoni ikanyesha mvua ya radi anatulia tuli kainama na ukimlazimisha kwenda ataenda lakini kabla hujaona mwanga wa radi husimama ghafla mpaka mlio wa radi utoke utaona wanatembea tena, nilipokuwa mdogo niliwahi wauliza wahenga nao wakasema hapo wanapingana na radiZiko imani zingine unaweza kuzieleza kisayansi 1.Ukifuga kondoo anasaidia kuzuiya radi 2.Mwanamke akila mayai sana wakati wa uja uzito atazaa mtoto hana nywele kabisa
MAELEZO:-
1.Chukua ruler ya plastic isugue kwa kutumia pamba au mkono wako kisha kata vipande vidogo vya karatasi.Sogeza hiyo ruler vipande vitajinasa kwenye ruler kama sumaku.Kwanini? hiyo ni static electricity.Kondoo ana manyoya mengi anapotembea anajisugua kwenye ukuta mbao na miti wakati akifanya hivo bila kujua mwili mzima manyoya yake yanakuwa na charge za chanya(positive).Radi inapopiga mahali karibu na kondoo kondoo anarushwa mbali sana na sehemu hiyo kwasababu chaji za chanya za mawingi zinatafuta mahali pa kushukia sasa kwa sababu zinafanana na manyoya ya kondoo zinamfanya kondoo ana repel maana ni like charges.Hivo radi inaposhindwa mpiga kondoo inatafuta kitu kingine karibu ili zile charge ziende ardhini kwenye charge hasi.Ukikuta kondoo amekufa kwa radi sio radi iliyomuua bali ni kule kubamizwa mbali kule anakojigonga.Kwa utafiti chunguzeni sana wakati wa mawingu mengi sana mvua inapotaka kunyesha kondoo unaweza wakuta wameinamisha vichwa vyao wanaangalia chini kimya sana.Sababu wanapata msukosuko wa charge za manyoya yao kufanana na mawingu yanayopita angani hivo wanakosa raha sana.
2.Mwanamke akila mayai sana mtoto atakuwa mkubwa sana hivo mwanamke atazaa mtoto mkubwa sana atashindwa kutoka mama anaweza kufa kumbuka zamani kulikuwa hakuna operation ya mtoto.Babu zetu mungu aliwaongoza sayansi hii bila ya wao kujua.Siku hizi wanawake wengi wanajifungua kwa kisu sababu mila hii haipo wao chips mayai nyama kujifungua inakuwa tabu
hii ya ndege kukujulisha hatari wala sio uchawi hata kukiwa na nyoka kwenye mti ndege wanapiga kelele sana.Kuna ndege flani porini akipiga kelele tu wanyama wengine kama pundamilia wanakimbia wanajua kuna simba karibu au muwindaji nani ameangalia flamu ya god must be crazyWawindaji mara nyingi wana signal flani hivi, ukienda porini unaweza kutana na ndege, sasa huyo ndege ana aina mbili za signal, moja anaweza kukutahadhalisha na hatar, na ya pili kukuonyesha mali eg asali nk.
Sasa how can identify merits&d'merits kazi inakuwaga hapo
Part gani niliangalia ile filamu yote haichoshi kuangalia[emoji1]hii ya ndege kukujulisha hatari wala sio uchawi hata kukiwa na nyoka kwenye mti ndege wanapiga kelele sana.Kuna ndege flani porini akipiga kelele tu wanyama wengine kama pundamilia wanakimbia wanajua kuna simba karibu au muwindaji nani ameangalia flamu ya god must be crazy
Updates: Paka nilie mjeruhi. Leo SAA 12:07pm usiku amekuja mbwa mweupe akajichanganya kutafuta msosi si mbwa mnyama ni MTU.
Uliharibu na kutengua hizo balaa kwa jina la yesu hongera mno.Kuna siku mbwa walikuja kulia kwangu. Mlangoni kabisa. Watu wakasema, kuna shida inakujia. Mwaka wa pili huu unakatika, hakuna cha shida wala Mwajuma.
Njoo kwa YESU ukombolewe.Habari wana Jf.
Naandika bandiko hili baada ya kufanya utafiti Kwa muda mrefu.
Mbwa, paka, bundi wanapolia usiku Kwa sauti ya ajabu kama sauti za wanadamu wanaolia Kwa uchungu hutabiri kitu.
Utafiti umenithibitishia juzi mbwa na bundi walilia sana usiku Kwa mfululizo Jana tumezika MTU mtaani kwetu. Hali hii imekuwa ikitokea Mara Kwa Mara wanyama na ndege huyo wanapolia.
Mbwa hulia Kwa kuweka mdomo juu.Paka hutoa sauti isiyo ya kawaida Kwa kubana koo lake. Bundi hutoa mlio Kwa sauti nene yaani bass.
Mwenye zaidi karibuni [emoji250] [emoji240] [emoji211]
Siji[emoji1]Njoo kwa YESU ukombolewe.
Asante sana Mkuu.Uliharibu na kutengua hizo balaa kwa jina la yesu hongera mno.
Mkuu fafanua kuhusu njiwaHaina uhalisia wowote labda kiidogo ungeniambia njiwa ningekuolewa huku wetu mbwa paka bundi wanalia hiyo miliyo kila leo lakini hamna lolote linalotokea