Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
seperation of powers..., jw haihusiki na misitu yenu wala airport zenu,
Moshe dayan, when it comes to TPDF you are always alert. Kudos! Ila isiwe kwenye JF tu,lol!
seperation of powers..., jw haihusiki na misitu yenu wala airport zenu,
Nadhani gharama waingie hao waliokwapua wanyama wetu!
Tena sio kuwarudisha tuu ila na kesi ifunguliwe juu yao kama kuna sheria zilikiukwa wakati wa kuchukuliwa hao wanyama.
Kwa nchi ambayo iko serious Dege la Jeshi likitua kwenu lazima TISS NA IKULU PLUS JWTZ wawe on the loop bse inaweza kuwa imekuja kuvamia.
So hawa wote watatu walishaambiwa msihofu imekuja kwa amani ndo ikaland na kuondoka na wanyama wetu
mzee samahani kama nimekuudhi, ila ukweli ndio huo....wewe mbona ni mjinga hivo,huoni comment yako ndio chanzo cha kuleta udini humu.
akili yako fupi ndio inayo kuruhusu kuingiza uislam hapa?
hebu tubadilike tuwe open minded,ndio tuta tatua hata matatizo mengine.
kwa habari yako hao wote walio iba wanyama wapo wakristo humo wasio na dini,kabila lako lipo nalo,serikali yako.
tuwe watu wakukemea vitu hivi bila kuangalia walio fanya hivi nani.
udini una uanzisha mwenyewe
Watanzania tuishinikize Serikali ifanye juhudi za nguvu ili wanyama wetu wote waliopo Qatar, Saudi Arabia, Dubai na Pakistan warudishwe haraka iwezekanavyo. Huu ni wizi na wahusika wote katika wizi huu wapandishwe kizimbani haraka sana na hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao.
Hii serikali haina uhalali wa kuwa madarakani kwa namna yoyote ile,hiyo ndege ya kijeshi iliingiaje,halafu hao TISS Walikua wapi,jwtz wapi?
Ni uzuzu wetu tu ndiyo unaoifanya hii serikali iendelee kuwepo madarakani. Yaani sidhani kama kuna nchi yoyote duniani ambako taifa lingine linaweza kuingia kwenye mipaka yake na kuchukua mali za hiyo nchi bila ya taarifa ya wenye nchi.Hii serikali haina uhalali wa kuwa madarakani kwa namna yoyote ile,hiyo ndege ya kijeshi iliingiaje,halafu hao TISS Walikua wapi,jwtz wapi?
hizi gharama za kuwafuatilia na hatimaye kuwarudisha nani anazilipa?
Kama ni hivyo basi tufungue mbuga za wanyama kwa jina la Tanzania huko kwenye nchi za wenzetu....maana na serikali hizo ni za ajabu. Kwa nini hawakuijuza serikali kuhusu hili? Au waliijuza na wakubwa wakakaa kimya? Well,mbali na joke hii nadhani wanyama wanaweza ku-adapt wakirudishwa,,,,mbona walipelekwa mazingira mapya kabisa na wameishi. Suala la gharama za nani, lazima wahusika wagharamie, pamoja na hii kamati anayoiunda mh Kagasheki....Teh! Nachelea kusema kama wengine inawezekana na hii ikachinjiwa baharini....wala tusitegemee matokeo mazuri...zinaweza kuja justifications mpaka mkashangaaMimi sidhani kama itakuwa busara sana kuwarudisha wanyama ambao wamekwishabadirisha mazingira ya kuishi na wakirudi tu watakufa mara moja. Pili gharama za kuwarudisha zitakuwa ni kubwa mno!
Mimi sidhani kama itakuwa busara sana kuwarudisha wanyama ambao wamekwishabadirisha mazingira ya kuishi na wakirudi tu watakufa mara moja. Pili gharama za kuwarudisha zitakuwa ni kubwa mno.
Tuwarudishe ili iweje? Tuwaone nyuso zao? Vile vile wale wanyama siyo vito kwani watakufa tu muda si mrefu. Kinachotakiwa, kama kweli waliopo madarakani wana nia nzuri ni kufichua huo mtandao mzima na waliohusika kufikishwa mahakamani. Lakini kwa Tanzania kwa vile wahusika ni hao hao wakubwa hawatatuambia ni nani aliwatorosha hao wanyama bali watatumia pesa yetu nyingi kupeleleza na kuwarudisha Tanzania!
Sidhani kama Tanzania kuna TISS, nafikiri kuna wahuni fulani, wanaoganga njaa tu. Hawana lolote. Imagine hilo dege la kijeshi lingeshusha mabomu na kuua watu. How on earth dege la kijeshi la nchi nyingine liweze kutua na kubeba wanyama bila ya serikali kujua kinachoendelea? Huu ni zaidi ya uozo katika uongozi wa Kikwete!TISS wameshindwa kudeal na uamsho ndio wangeweza kuseal na qatar?? Just simple logic
Unapotembeza bakuli dunia nzima kuomba msaada hata vitu ambavyo watu wako wanaweza kuvifanya, vitu vingine ni kujiwekea malengo! pamoja na tamaa ya madaraka na utajiri wa haraka haraka kupitia uongozi tanzania basi tegemea huko unakoomba misaada kukufanya wanavyotaka. Nikimaanisha, viongozi wetu si wabunifu hata kidogo, wamezoea kutembeza bakuli kila kukicha! matokeo yake masharti ni kama hayo, tunakupa hela za kampeni lakni tunataka wanyama, tunataka madini, tunataka hiki na kile mfano kampuni la kufua umeme au kampuni la kujenga barabara feki mipesa kibao.Kama ni hivyo basi tufungue mbuga za wanyama kwa jina la Tanzania huko kwenye nchi za wenzetu....maana na serikali hizo ni za ajabu. Kwa nini hawakuijuza serikali kuhusu hili? Au waliijuza na wakubwa wakakaa kimya? Well,mbali na joke hii nadhani wanyama wanaweza ku-adapt wakirudishwa,,,,mbona walipelekwa mazingira mapya kabisa na wameishi. Suala la gharama za nani, lazima wahusika wagharamie, pamoja na hii kamati anayoiunda mh Kagasheki....Teh! Nachelea kusema kama wengine inawezekana na hii ikachinjiwa baharini....wala tusitegemee matokeo mazuri...zinaweza kuja justifications mpaka mkashangaa
Kama ulikuwepo, tutakuja ambiwa wale wanyama hawakuppatika wengi walikufa kutokana na mazingira ya usafirishwaji wao, lakini timu imetumia $50,000 ukijumlisha na gharama ya hao wanyama unachoka!! CCM woyee!!!hizi gharama za kuwafuatilia na hatimaye kuwarudisha nani anazilipa?
Kuna mtu aliwahi kuulizwa "kwanini sisi ni maskini?"... wakati mwingine majibu yanatukudolea macho..
CCM yua fwakingi us Tanzanians.
Hebu niambieni ni gamba gani mlilolivua wakatu ufisadi uko palepale?