wewe acha utani kwenye mambo ya msingi kama haya,kana unataka zawadi mtafute yule katibu mwenezi wa ccm akupe ya kwenda nayo shambani umesikia?
It will be a multisectoral team incorporating people from the ministry of Natural Resources and Tourism, the Attorney Generals Chambers and Tanzania Intelligence and Security Services (TISS) noted the newly-appointed minister.
Source:The Guardian
Kwangu mimi sijui kama hawa wanaweza hata kuongoza familia ikafanikiwa kufikia malengo yake. Wote wauza sura wanaoshindana tu kutumia mkorogo kama wanawake. A bunch of ******!chama cha mapinduzi.
viongozi wake ni hawa.
mwenyekiti jakaya mrisho kikwete.
katibu mkuu wilson mukama.
mwenezi nape moses nnauye.
uchumi na fedha mwigulu nchemba.
...............
................
...............
Na yule binti sijui eti katibu wa gamba anafurahi JKT kurudishwa eti ajira zitaongezeka!.Huyu jamaa baada ya Waziri wa Fedha kuwasilisha bajeti yake, akahojiwa na vyombo vya habari ili kupata maoni yake. Kwa mshangao wangu akaisifia sana bajeti kuwa itainua uchumia wa mtu wa chini. Kwamba imewakumbuka watu wanaoishi vijijini na ni bajeti ya kuleta maendeleo. Kisha yule binti mbunge wa viti maalum nadhani ni Ester Bulaya naye akaisifia sana bajeti. Nilijiuliza maswali mengi, lakini mwisho nikajiuliza je ni lazima kutoa maoni hata kama kitu hukijui ? Tunatatizo la uwezo wa kuelewa na kupambanua mambo. Kutazama mambo kwa jicho la tatu bila ushabiki. Lakini mbaya zaidi hawa ni vijana. Kama taifa litakuwa na vijana wa jinsi hii, basi tuhesabu maumivu kwenye uwakilishi wa kimataifa, maana hawataweza kukaa na kupambanua mambo kiundani na mwisho wa siku tunaweza kumsifia Chief Mangungo wa Msovelo kuwa walau alijitahidi kulinganisha na hao.
Hawa hapa - (Qatar)
Zebras at Sunset - Doha Zoo, Qatar
hizi gharama za kuwafuatilia na hatimaye kuwarudisha nani anazilipa?