wanyakyusa tu

Hii thread ingekuwa inawahusu wahehe,mpaka sasa wangekuwa wametukana matusi mengi,
Hongera wanyakyusa kuwa waelewa
 
Usiharibu lugha za watu ni Mwakalinga.
<br />
<br />
Wewe ndio haulewi...kule kuna akina Mwakajinga, Mwakagari etc.

By the way, sio vema kuanza kushambuliana khs majina ya makabila pia siamini kuwa eti jina la mtu linaakisi flash yake ya ubongo(akili),matendo n.k

Hebu cheki watu wa kunyumba (Songea) mara Komba, sungura, matembo,ngonyani, tumbili,mbawala!
 
leka ukonanga ingamu sya bhandu, Kwani Mwakajinga kukinyakyusa bho bhulema? pamo linga ali jho Mwabhulema.
Jina hilo halina uhusiano na ulichoandika Malafyale.
Mwe bhanyakyusa mughonile!!!
 
Kujoba mwakajinga bhalipo bha mwanguruwe!
Hayo majina yana maana yake usitarajie maana yake ni mjinga!
Pitasi bhakamu
 
ndagha fijho bha kukajha, mummanyisyeghe ujo, ngwagha ni sukulu akimbapo ujho!! nende bhule une
 
Lenga twandile okolondesya engamu sya bhandu na tukusyaga esya mahelu manywamu tusileke engamu bhankamu....
 
Back
Top Bottom