Jina ni Nomino ya jambo ama kitu chochote ambacho chaweza kuwa hai ama si hai (Living organism or non - living). Hata hivyo kila kabila linatumia herufi hizi ili mradi linaleta maana kwao kutambulisha kitu au mtu fulani, mfano unaposema research yako imebaini majina yanayoanza na herufi 'L yanaishia na O' kwa wanyakusa, hata makabila mengine mbona wanatumia herufi hizo kwa majina ya watu ama vitu? kulikoni wanyakyusa tu wanatajwa hapa? Mfano wasukuma wanalo jina '********' jina hili linaanza na herufi 'L na kuishia na O' likimaanisha 'Tigo', na mengine kama 'LUBOLO' hilo sijui maana yake lakini ni jina. Turudi mashariki ya mbali jirani na uchina, Ni Wajapan hawa...wao unaweza hata usitamke majina yao mbele ya mkwe wako maana laweza kuwa tusi kwetu nadhani hii ndo mada ya kujadili hasa badala ya Wanyakyusa, Mfano ninao rafiki Japanese wenye majina yafuatayo: KUMAMOTO YACHIRO, KANYAMAV KAYASHIKA, ****-UHARO YANAMOTO n.k...LABDA WANYAKYUSA IMEKUWA HOJA KWA SABABU YA NETWORK YAO NDANI NA NJE YA NCHI HUSUSAN MAREKANI KASKAZ ETC, ULI....Mimi ni Manyema kutoka Kigoma si Mnyakyusa My real name is KARUMANZIRA