mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,083
- 2,097
Anauza gunia la mpunga sh 70 elfu na mchele kilo moja sh 1300 wapi usipoelewa?Wakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora.
Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000
Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku
Nipo Nzega Tabora
NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni mtamu na mzuri sana ingawa unaoamika zaidi ni wa Mbeya
Call: 0762693368
Whatsap: 0762693368
Sent using Jamii Forums mobile app