Ukaripoti mali asili ?? Jangili ??
Pole sana ndugu yangu!! Maana naona hujasoma post yangu ya kwanza kabisa.
Ngoja niiweke tena hapa ili uione !!!!
Angalia sana hapo kwenye maandishi makubwa ya blue na red !!!
Unaweza kuelewa kitu hapo ??
Maana yake ni kuwa ninasafisha pori ili liwe shamba kwa ajili ya kupanda mazao mbali-mbali.
Sasa nisipikata baadhi ya miti nitapandaje mazao kwenye pori hilo unaloliona kwenye picha ??
Upo hapo ??
Haya wanunuzi wa kuni karibuni sana.
Hi wana JF wote,
Natafuta wanunuzi kuni za jumla.
Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo zinapopatikana kuni hizo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa 100 toka DSM.
Bei ya kuni ni sh. 150,000 kuni zikizojaa kwenye fuso au canter (tani 3), maongezi pia yapo.
Wana JF nawasilisha.
Pia naomba mnipe contacts za wanunuzi wanaoweza kununua kuni hizo kwa jumla.
Mawasiliano yangu ni:-
Voda 0754-310981
Airtel 0789-310981
Tigo 0658-310981
Thanks in advance.