Wanunuzi wa Kuni na Mirunda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanunuzi wa Kuni na Mirunda

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ROKY, Jan 31, 2012.

 1. ROKY

  ROKY Senior Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hi wana JF wote, Natafuta wanunuzi kuni za jumla na mirunda.
  Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni na mirunda.
  Eneo yalipo mashamba hayo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa 100 toka DSM.
  Bei ya kuni na mirunda ni maelewano tu na wanunuzi.
  Wana JF naomba mnipe contacts za wanunuzi watakaonunua kuni na mirunda hiyo kwa jumla.

  Mawasiliano yangu ni:-
  Voda 0754-310981
  Airtel 0789-310981
  Tigo 0658-310981

  Thanks in advance.
   
Loading...