OK FIKA HAPO SAFARICARE eneo la TFA !!Arusha sehemu gani mkuu? Bei zinaendana na bajeti yangu elekezi? Mwaga contacts....
Mkuu nina vx number A imesimama sana ipo hapa kinondoni tuwasiliane namna ya kukuletea 0657145555
OK FIKA HAPO SAFARICARE eneo la TFA !!
wasiliana na ndg. Kamal Tel/fax: 2548168
karibu wewe utadeal na Kampuni usijali bei, usijali contact person, usijali mambo madogodogo.Nxt week nakuja AR, ntamcheki; thanx mkuu; ntashukuru sana kama ungenipatia mobile no.?.........