Wanted: Landcruiser Vx, Gx, Zx, Lx

Wanted: Landcruiser Vx, Gx, Zx, Lx

Ntu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,038
Reaction score
697
Wakuu salaam

Nahitaji moja kati ya magari tajwa hapo juu lililo katika hali zuri. Bajeti;10-15M.

NB; weka picha na specifications zote.
 
Kwa dau hilo kiongozi labda uende kwa ma insure wakuuzie lililopata ajali upeleke garage!
 
Nenda moshi
unaweza bakhtisha la bei hiyo
lakini............
 
Wauzaji/wamiliki changamkieni "fursa" jamani.......
 
moshi sehemu gani mkuu? Lakini nini.....????????
nenda kwenye magereji fulani
majengo...
Lakini uwe mwangalifu nyingine si za halali
zilipigwa kitambo hasa engine za hz....
 
nenda kwenye magereji fulani
majengo...
Lakini uwe mwangalifu nyingine si za halali
zilipigwa kitambo hasa engine za hz....

Sorry, I can't risk my life....; Ila asante kwa kuni-alert Mkuu
 
Kaka mm nafaham ilipo land cruiser v 8 ipo bomba tatizo hilo dau lako kaka kwani hata mil 50 kwa v8 iliyokuwa nzur kuipata shida labda gereji zilizopata ajali
 
Kaka mm nafaham ilipo land cruiser v 8 ipo bomba tatizo hilo dau lako kaka kwani hata mil 50 kwa v8 iliyokuwa nzur kuipata shida labda gereji zilizopata ajali

Asante mkuu; "tatizo hilo dau"......ndo uwezo wangu ulipokwamia
 
Jitahidi unaweza kuipata lakin hayo magar mengi huja yakiwa mapya sasa ukilipata kukuu litakusumbua na si unajua spea zake zilivyo ghali?
 
Jitahidi unaweza kuipata lakin hayo magar mengi huja yakiwa mapya sasa ukilipata kukuu litakusumbua na si unajua spea zake zilivyo ghali?

Asante mkuu kwa "angalizo"
 
Tunazo Land Crz.. hard top na LC za model 2000/2001/2004 (VX,GX ) zote zipo Arusha !! (ex-tour operator)
 
mkuu kwa ushauri tu kama huwez ongeza zaidi ya hapo kuliko kununua matatizo bora ununie gari inayoendana na bajeti yako
 
Tunazo Land Crz.. hard top na LC za model 2000/2001/2004 (VX,GX ) zote zipo Arusha !! (ex-tour operator)

Arusha sehemu gani mkuu? Bei zinaendana na bajeti yangu elekezi? Mwaga contacts....
 
mkuu kwa ushauri tu kama huwez ongeza zaidi ya hapo kuliko kununua matatizo bora ununie gari inayoendana na bajeti yako

Asante Mkuu kwa ushauri....
 
Back
Top Bottom