Want to enroll at Cabridge Internatinal College

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Habari zenu wazee wa janvi,

Naombeni msaada wa mawazo, nimekuwa nikiona tangazo la cambridge International college kwa muda, na vile vile nimejaribu kwenda kwenye website yao:- Cambridge International College, sasa hivi nimefikia umamuzi wa ku-enroll na chuo hiki kwa kuwa siwezi kusoma full time kwakuwa mimi ni muajiliwa;
Sababu za mimi kutaka ku-enroll na Cambridge International college ni kwa sababu i can do open and distance learning, i can enroll anytime and start anytime, na kitu kingine ni kuwa ADA yao siyo mbaya kwa mtoto wa mkulima kama mimi(it cost about $375 for a diploma which i think is not bad)

Naomba msaada wa mawazo kwa watu mnaokijua chuo hicho au hata kwa wale mliosoma kupitia chuo hicho,things like accreditations and stuff na la mwisho kama mlikuwa na ushauri mwingine wowote au suggestion ya chuo kingini kinachotoa huduma za distance learning na kinachotambulika, my aim is to do advertising and marketing.

Thanks and god bless you all
 
mzee cambridge gani unayoongelea yenye bei ndogo kama hiyo? au ndo kama vishule vya cambridge high school vya hapa bongo?fanya utafiti vizuri
 
mzee cambridge gani unayoongelea yenye bei ndogo kama hiyo? au ndo kama vishule vya cambridge high school vya hapa bongo?fanya utafiti vizuri

Mzee ni cambridge international college ya Britain nimeifanyia uchunguzi kidogo na ina-exist.
 
Accreditation and Approval of Training and Qualifications

1. Open & Distance Learning Quality Council
- a British Accrediting body set up at the request of the British Government

2. The British Institute for Learning and Development
- a Membership of specialists in Learning

3. ASET
- an Accreditation and Awards body

4. Institute of Professional Managers & Administrators
- a Membership body for managers, administrators and professionals

5. United Kingdom Registry of Learning Providers
- a Government register of verified learning providers in the UK

6. British Qualifications
- a Guide to Qualifications in the United Kingdom

7. British Council
- an organisation for educational and cultural relations

Sasa hii inaniconvice kidogo au wewe unaonaje?..
 
Habari zenu wazee wa janvi,

Naombeni msaada wa mawazo, nimekuwa nikiona tangazo la cambridge International college kwa muda, na vile vile nimejaribu kwenda kwenye website yao:- Cambridge International College, sasa hivi nimefikia umamuzi wa ku-enroll na chuo hiki kwa kuwa siwezi kusoma full time kwakuwa mimi ni muajiliwa;
Sababu za mimi kutaka ku-enroll na Cambridge International college ni kwa sababu i can do open and distance learning, i can enroll anytime and start anytime, na kitu kingine ni kuwa ADA yao siyo mbaya kwa mtoto wa mkulima kama mimi(it cost about $375 for a diploma which i think is not bad)

Naomba msaada wa mawazo kwa watu mnaokijua chuo hicho au hata kwa wale mliosoma kupitia chuo hicho,things like accreditations and stuff na la mwisho kama mlikuwa na ushauri mwingine wowote au suggestion ya chuo kingini kinachotoa huduma za distance learning na kinachotambulika, my aim is to do advertising and marketing.

Thanks and god bless you all

Hello bado niponipo!

Kwanza hongera kwa kuwa na huo utashi wa kuendelea ki-elimu.

1. Hicho chuo ni cha ukweli kabisa na kama unaweza nenda pale British Counsel watakujuza zaidi.
2. Wanatoa cheti kinachokubalika.
3. Ninavyokifahamu mimi, mfano nilipata kuona syllabus ya Management iko vizuri na inacover vitu vya msingi(muhimu) vingi. Kama upo kwenye field (sijui ip?) unahitaji kufanya more research juu ya course yenyewe stahili. Maana unaweza kuja kuwa bored unasoma vitu unavyo vijua na hatimae unakuwa umenunua cheti tu.
4. Kwa kuwa course yao ni rahisi both cost and material wise huwa hawatoi transcript ya kuonesha ulipata marks kiasi gani ila huonesha tu modules covered. Kwa hiyo inakuwa ngumu sana kutumia hii Diploma kama stepping stone kwenye level nyingine ya juu....labda Advanced Diploma au hata Degree especially kama unataka upatiwa some modules exemption. Ila kama hutataka exemption nadhani haina matata, hasa kwa UK.
5. Ila ukiangalia kwenye faida utakazo pata baada ya kufanya hii course wanatoa cheti kingine kinaitwa ASET, hii ASET inakusaidia kukuaminisha kwenye body za huko UK na huenda ukapata loan na mambo yanayofanana na hayo.
6. Kama unataka cheti pekee yake kwa ajili ya kupandishia mshahara sawa ila kama utatumia cheti hicho kuendelea na shule fanya research zaidi na zaidi ya online colleges. (wengi sana ni matapeli....kuwa makini sana)

Mwisho, kwa wadau woooote wanaofahamu universities zenye kutoa good and accredited Online Education waweke info hapa.

All the best.
 
Bado niponipo,

British Council dar

Samora Avenue, opposite steers

Tel: 2116575-9

Siyo vibaya ukicheck nao na nadhani wanaweza hata kukupa majina ya wabongo waliosoma chuo hicho na unaweza ukafanya utafiti zaidi.

All the best
 
Kaka K,

Thanks for ur advice.

You be blessed.

Wadau wengine mnasemaje, kwa kuwa jamaa wanadai wana ma-member wengi tanzania na nina imani humu JF basi kuna mtu atakaye kuwa anajua kuhusu Cambridge International College.

Nasubiri Maone yenu wakuu,
 
mhhh dada/kaka angalia kuna watu hatari sana dunia ya sasa.....binafis sikushauri kuwalipa ada kwanza fanya utafiti....

nenda british council iliyo karibu nawe ulizia vyuo vinayotambulika vya elimu masafa kama kitakuwepo basi go ahead
 
Thanks Yo Yo,

Will try contact B.C
 
uKWELI NI KWAMBA HAWA JAMAA WAKO SAFI KTK MATERIAL WANAZO KU SUBSCRIBE NAZO, MTAALA WAO UKO SMART NA WA KISASA, MODE OF TRAINING IKO KTK ASIGNMENT MBILI AMBAZO WANATAKA UZIFANYE KILA BAADA YA KUMALIZA MODULE, KILA MODULE INA MATERIALS ZAKE NA TEST ZAKE KWA KILA NDANI YA MODULE. UNAPO SUBMIT ASIGNMENT WANAZISAHIHISHA NA KUKUPA MAELEKEZO YA KUBORESHA. WAKISHA RIDHIKA NA KAZI HIZO NDIPO INVIGILATOR ANAPOWAARIFU KUWA UKO TAYARI KWA MTIHANI NA WEWE KUTHIBITISHA TU KILE KINACHOELEZWA NA INVIGILATOR.

BAADA YA HAPO MAWASILIANO NI KATI YAO NA MSIMAMIZI WAKO MPAKA UNAPO SEAT KWA MTIHANI WA MWISHO. KAMA UMEFAURU WATAKU GRADE KWA KOZI NZIMA KUWA KAMA NI PASS, MERIT, HIGHER MERIT E.TC

NI WAZURI ESPECIALLY KWA MWANAFUNZI ANYETAKA KWELI KUSOMA NA KUFIKIA LEVEL ZAO, NINAMAANISHA KUWA UNAPO JISAJIRI NI VEMA UKATAFUTA ZILE CENTRE ZA WA PROFESSIONALS WA HAPA DSM AU POPOTE PALE NCHNI ILI WAKUONGOZE KTK KUKATA NYANGA ZA HAWA JAMAA WA CIC, HII ITAKUSAIDIA KUPATA KNOWLEDGE ZAIDI NA HATA UTAKAPOJIBU MITIHANI YAO UTAKUWA NI MSOMI WA KWELI.

NI COMMITMENT YAKO ZAIDI NDIYO ITAKAYOKUINUA MKUU.

LET US USE CIC KAMA MSHINDANI WA OPEN UNIVERSITY
 
Mkuu FDR.Jr

Asante sana kwa mawazo yako mazuri, nitayafanyia kazi na kweli nimepitia baadhi ya modules ya hawa jamaa wa CIC naona imekaa vizuri.

Jamani wanajanvi wengine ambao unaufahamu na chuo hiki naombeni mawazo na ushauri wenu.

Shukrani wakuu
 
... nitayafanyia kazi na kweli nimepitia baadhi ya modules ya hawa jamaa wa CIC naona imekaa vizuri.....Jamani wanajanvi wengine ambao unaufahamu na chuo hiki naombeni mawazo na ushauri wenu....Shukrani wakuu

Ndugu n n,
Nikumbukavyo nili ku-PM, kuna mwenzetu amekushauri ujiunge na chuo kikuu chetu huria, hata miye nita kushauri vivyo hivyo kwani utakuwa umetumia pesa zako vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom