Wanotra nanywa makuuta!

Deo bony

Member
Mar 27, 2011
74
8
Ndani ya Hospitali ya vichaa.

Muuguzi: Unaandika nini?

Kichaa: Barua

Muuguzi: Unamuandikia nani?

Kichaa: Najiandikia mwenyewe.

Muuguzi: Imebeba ujumbe gani?

Kichaa: Heh, we chizi kweli, sasa mi nitajuaje wakati barua bado haijanifikia?
 
Huyo Daktari kweli hamnazo! Sasa kweli jamaa angejuaje kilichomo kwenye barua ambayo haijamfikia? Lol.....
 
Back
Top Bottom