Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,707
- 128,343
Mbona nzuri tu? Wakwangu hapaki tangu tukiwa kwenye uchumba mpaka leo hajawahi kufikiria hilo.
Kwa kweli ni mzuri hata Kama hajanawa uso
Ooh. Mpe hongera zake.
Mbona nzuri tu? Wakwangu hapaki tangu tukiwa kwenye uchumba mpaka leo hajawahi kufikiria hilo.
Kwa kweli ni mzuri hata Kama hajanawa uso
Hahaaaa. Sijazoweshwa ila toka nimekuwa na maisha yangu ikatokea tu naupenda kwa kweli.Nilichokigundua kwako ni kwamba, wewe ni mzuri lakini hujui au huo wanja ulizoeshwa tangu ukiwa mtoto
Sikatai wanawake kupaka wanja ila mwanamke sio lazima apake wanja
Kuna mmoja namjua yani kaamua kabisa kunyoa nyuzi zake ili abaki na wanja tu [emoji23]
Hahahaaaa, unamaneno Hajar weye😛😛😛
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jini chaurembo; hatari kwa waume za watu.
Hata hamfikii!Huyu ni jini mkata kamba
Afadhali nipake ule wanja wa mwezi mchanga style pendwa ya bar maidsUuwiii. Napaka sana wanja ila huu ni zaidi ya Wanja.
Wanja wa kigodoro huu. [emoji23] [emoji23]
eti wanja wa kigodoro 😀😀😀Uuwiii. Napaka sana wanja ila huu ni zaidi ya Wanja.
Wanja wa kigodoro huu. [emoji23] [emoji23]
Mmh. Dada.Afadhali ninakupenda na ule wanja wa mwezi mchanga style pendwa ya bar maids
Ndio Mkuu [emoji23] [emoji23]eti wanja wa kigodoro 😀😀😀
haaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh nimecheka kwa ngv hapa dahKuna watu wana vipaji vya kuchekesha jamani
Bora ufurahihaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh nimecheka kwa ngv hapa dah
haaaaaaaaaa umenikumbusha enzi za mazingaombwe!dah hatari sana jamanBora ufurahi
Sasa hapo utasema ni urembo au anaenda kwenye mazingaombwe hahahaha
Wahenga hawachezi mbalihaaaaaaaaaa umenikumbusha enzi za mazingaombwe!dah hatari sana jaman