Wanja kama Ndege inapaa

Wanja kama Ndege inapaa

Binafsi yake haamini katika hayo, nafikiri anamkopi mama yake mzazi hakuwahi kutumia vipodozi maisha yake yote. Sana sana anaweza kusuka au wakati mwingine kuweka dreadlocks.
Utandawazi mkuu plus kuigana. Kwetu Dada zangu Hawakutobolewa masikio tangu wazaliwe. Cha ajabu mmoja kaja kutoboa very late angali ana watoto wa kumaliza form four.
 
Ndioo. Mpe pole.

Sababu mie kama mie naona mwanamke bila wanja usoni bado hajawa mwanamke kamili. Sababu urembo muhimu Mbalizi hata kama age go. Hahahaaaa

Mwambie asijizeeshe bana. [emoji12][emoji12]
Nilichokigundua kwako ni kwamba, wewe ni mzuri lakini hujui au huo wanja ulizoeshwa tangu ukiwa mtoto

Sikatai wanawake kupaka wanja ila mwanamke sio lazima apake wanja
Kuna mmoja namjua yani kaamua kabisa kunyoa nyuzi zake ili abaki na wanja tu [emoji23]
 
Kwa mfano biblia inatuambia mwanamke ametoka katika ubavu wa mwanaume. Huyu atakuwa ametoka katika ubavu wa nani?😎😎😎😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom