Wanja kama Ndege inapaa

Wanja kama Ndege inapaa

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,370
Reaction score
2,715
Hatari Tupu...
IMG-20180812-WA0055.jpg
 
Make up na Wanja vyaweza kuwa janga lingine la Taifa letu, serikali isilifumbie macho.

Wanaume na vijana wanahadaika sana na kujikuta tukiwa mateka.
 
Ndioo. Mpe pole.

Sababu mie kama mie naona mwanamke bila wanja usoni bado hajawa mwanamke kamili. Sababu urembo muhimu Mbalizi hata kama age go. Hahahaaaa

Mwambie asijizeeshe bana. [emoji12][emoji12]
Binafsi yake haamini katika hayo, nafikiri anamkopi mama yake mzazi hakuwahi kutumia vipodozi maisha yake yote. Sana sana anaweza kusuka au wakati mwingine kuweka dreadlocks.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom