Wanigeria wazuia ndege ya KLM isiruke ili mwenzao aliyefungwa minyororo atelemshwe

Asee wazungu wazuri bwaana hao lazima watakuwa warabu au wahindi. Wajua tena wakimrudisha black wanafikiria kama wamemrudisha king kong.
 
Sisi watanzania hata jambo linalohusu nchi yetu tunavutana, imagine hawa jamaa hata hawafahamiani wamekutana tu kwenye ndege wamegundua ni wa nchi yao wame-shout hadi mwenzao ameshushwa
 
wanigeria kwa fujo tena afu na kwa shangwe, waliangusha ndege hawa kwa shangwe zao...... watanzania nafikiri wangekaa kimya tu
 
Ndiyo tabia yao wazungu hiyo wakim-deport mtu huwa wanamdhalilisha.
hao wameleta usumbufu tu kw abiria wengine,huwezi kumpandisha mtuhumiwa kwenye ndege ya abiria,hawa wenzetu ni waafrika wabaoishi kimazabe na wameweka picha mbaya sana kwa waafrika wengine,huyo atarudishwa kivingine,makelele yao hayasaidii kitu yanachelewesha tu process
 
mbaya zaidi wanaweza kukuta mashtaka yao mezani ya kuharibu biashara ya klm wakirudi wanapokelewa pale schiphol.hiyo nimeshuhudia
 
Lakini kwa nini wamfunge minyororo?

Si wangemrudisha tu chini ya ulinzi.

Naweza kabisa kuielewa indignation yao.
Hii mizungu ni mizezeta kweli kweli..,,afanalek! Kweli Mama Africa ameamka walahi tena!
 
Mwenye Enzi Mungu ibariki Africa na watu wake milele! Kubwa kabisa ibariki nchi yangu Tanzania tupe hekima na busara milele, tujalie afya nzuri, utajiri, upendo, amani, furaha, ujuzi, busara na hekima milele yote katika jina la Yahushua ha Mashaich, Amen Ra
 
Wamewakomesha hao wadutch. Shenzi zao kabisa. Ila wakishajua unajua haki yako wanaogopa sana.
Ila wadutch wana katabia fulani ka ubaguzi
 
Huku kwetu Tanzania yamejazana hadi vichochoroni..kwakuwa sisi tumezaliwa na roho ya kuogopa wageni tunabaki kuyaangalia tu.....ila ipo siku yao
 
Yani hapo ndo utawapenda hawa jamaa huwa ni very aggressive hasa wanapodai haki zao huwa hadi kieleweke unlike all east Africans

Sometimes aggressiveness pays dividends.

Lakini waNigeria wengi unatakiwa uwe unawaangalia kwa jicho la tatu unapokuwa nao.

Ila kwenye hili suala, kufungwa minyororo mikononi na miguuni ni kwa ajili tahadhari ya usalama wa mtuhumiwa na abiria wengine.
 
Back
Top Bottom