ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,829
- 131,756
Hahaha...umedata mtani!!Teh teh... Udhe na hemthi unighenjije ndima edha kio tukete nguju jedi.. Uwiii..
Hahaha...umedata mtani!!Teh teh... Udhe na hemthi unighenjije ndima edha kio tukete nguju jedi.. Uwiii..
Mwanamke wa dizain hiyo sio wa kuwa naye hata kama ni mchepuko
Hiv bado kun wanawake omba omba wa shida hizo????????.....ndo man miak 40 ndoa huna then analalamikaHabari wana MMU,
Wanawake naomba tuelewe kua Wanaume wote sio sawa,usilazimishe mumeo tabia zake au kipato chake kifanane na mwengine chakufanya nikum support mumeo na alichojaliwa nacho,
Sio kum stress,au akikwambia nna hela ya saloon elfu 50lakini ya wig jipya sina subiri siku nyengine
mwanamke mdomo utaupindisha kama unakamua shati unataka kulianika,
Siku mume akikupa hela majina yote utamuita,nyongo mkalia inii,mwandani,mboni yangu,furaha yangu,baby,honey,sweetheart,my love,mkali wao,kiboko ya sita kwa sita na mengineyo..
Siku akikosa ndio atatafuta shimo aingie matusi kejeli aibu moja kwa zote,unaanza mwanamme
utakua wewe,najuuta gata sijui nilishikwa na ibilisi gani nikakukubali wewe,muone sura yake kama
sijui sijui nini,hukuiona sura yake mwanzo? mwanamke mwenzangu kua na hekima ujue umuhimu wa mume na kumheshimu,kumbuka ipo siku nayeye ata win na hata kama humtaki bora mwambie kua nimekuchoka sio kum stress na maneno mabaya,akichukuliwa na mwenzio utasema mwanamme yule hana fadhila wala shukran,tujirekebishe wanawake wenzangu....
Sex sio kila kitu mkuu,unaweza kua hodari lakini wala isimshtue mwanamke kama Tabia yako chafu..
wako na wengine mpaka leo wanaishi kwao 40 yrs wale ni lile group la mimi mzuri wakati mda unakwenda,akija kukumbuka shuka kumeshakucha..Hiv bado kun wanawake omba omba wa shida hizo????????.....ndo man miak 40 ndoa huna then analalamika
Usijibu kwasababu unataka kujibu tuu,soma vizuri tuliza akili soma ujue mazungumzo yalianzaje ndio ujibu kama huja elewa ruksa kuuliza au kupitiliza ...Yaani hapo wewe umeona kipengele cha sex tu?... Teh maajabu hayaishi
Teh "Guys be like".
Na wenyewe wakati wanachagua wakuoa si wanatangulizaga pesa mbele, oooh bila pesa blah blah blah. Leo zimeisha wanalilia nini sasa?
AhsanteeeeKabisa aisee...starting on a wrong foot. Mtu unaweka precedence mbovu kwasababu tu ya desperation au kutaka kujionyesha tu kwa mpenzi wako kuwa nawe sio mtu wa mchezo mchezo wakati unajua kabisa huwezi ku-sustain for long, halafu baadae mwanaume unaanza kulalamika pale equilibrium inapobadilika
Me too nilitarajia utaongeza chumvi zaidi katika huu uzi, hautofautiani sana na Nimpende nani kwenye sekta ya kutetea haki za wanaume.interesting
Nice.Nna mapungufu yangu lakini hayo mwenyezi mungu kaninusuru nayo,yakumuona mume wa mwenzangu bora zaidi kuliko wangu haiwi na mungu asinijaalie,huyu huyu wangu nimemkubali alivyo...
ahahahah [HASHTAG]#supermarketing[/HASHTAG] alizoweka [HASHTAG]#nimpende nani[/HASHTAG] zimejitosheza nahisi km ni ng'ombe atapasuka. tukitimiza hayo yote mtupende kweli basi.Me too nilitarajia utaongeza chumvi zaidi katika huu uzi, hautofautiani sana na Nimpende nani kwenye sekta ya kutetea haki za wanaume.
--ongea chochote bas[emoji1]
*interesting haitoshi* ongezea nyama
Alhamdulilah najitahidi kiasi changu kwa ndugu jamaa na marafiki,na pia nafanya kazi inayoniwezesha kumsaidia Mume wangu kwa njia moja au nyengine na majukumu ya hapa na pale.....Nice.
Sio kwa mume/mke tu, hata katika mali, utajiri, ndugu, familia, afya, rizki, nk
*Ni vizuri kuridhika na kile ulichojaaliwa na Mungu na kuongeza juhudi siku moja na wewe upate kwa jasho lako halali.