Wangu hafanani na wako

Wangu hafanani na wako

Habari wana MMU,
Wanawake naomba tuelewe kua Wanaume wote sio sawa,usilazimishe mumeo tabia zake au kipato chake kifanane na mwengine chakufanya nikum support mumeo na alichojaliwa nacho,
Sio kum stress,au akikwambia nna hela ya saloon elfu 50lakini ya wig jipya sina subiri siku nyengine
mwanamke mdomo utaupindisha kama unakamua shati unataka kulianika,

Siku mume akikupa hela majina yote utamuita,nyongo mkalia inii,mwandani,mboni yangu,furaha yangu,baby,honey,sweetheart,my love,mkali wao,kiboko ya sita kwa sita na mengineyo..
Siku akikosa ndio atatafuta shimo aingie matusi kejeli aibu moja kwa zote,unaanza mwanamme
utakua wewe,najuuta gata sijui nilishikwa na ibilisi gani nikakukubali wewe,muone sura yake kama
sijui sijui nini,hukuiona sura yake mwanzo? mwanamke mwenzangu kua na hekima ujue umuhimu wa mume na kumheshimu,kumbuka ipo siku nayeye ata win na hata kama humtaki bora mwambie kua nimekuchoka sio kum stress na maneno mabaya,akichukuliwa na mwenzio utasema mwanamme yule hana fadhila wala shukran,tujirekebishe wanawake wenzangu....
Asante kwa ushauri binafc nmekuelewa sana dada angu.!! Be blessed
 
Mmmh misingi ya mahusiano inawekwa sana kwenye urafiki na uchumba huku. Usitegemee sana miujiza kutokea ndoani. Mtu anayekukomeshea kwenye uchumba siku ukifulia ndo utajua her true colors. Ukimpata kwa gharama sana, ujue utam-keep kwa gharama sana pia
true...
 
Ivi hapo ulikua unaongelea mume ama boyfriend?

Mwanamke hadi amekubali kuolewa alafu bado analeta mishe za mapenzi ya pesa. . .!!kama kweli kuna wanawake wa namna hiyo Mungu atusamehe wallah!

Umeolewa?
 
Waambie hao ,,basi sisi wanaume lkn usishangae research ikifanyika utakuta w/me ndo wanaonyanyaaika zaidi kwenye ndoa kuliko w/ke
 
Mwanamke huyo ameolewa na mume akisema sina hela basi hakukaliki tafrani moja kwa zote,anaanza kumfananisha mume wake na wa mwenzie hua nachukia mie....
Duh!
Uyo atakua aliolewa ili kushow off kua naye yuko katika ndoa
Wala hakupenda
 
Duuuhhhh kazi kweli kweli.

Nakumbuka kisa mkasa cha binamu yangu alikuwa "mission town", kila Mara mkewe mkewe alikuwa akimsema vibaya na kuniomba nimsihi ndugu yangu aache hizo "deal"

Bahati nzuri mchongo wake mmoja ukaja kukubali na kutema hela mithili ya mgodi. Mkewe akaanza kumwita majina yote mazuri, kibaya zaidi akawa hataki awe karibu na kina sie bila kujua sisi ndio tulimfikisha hapo.
 
Hv kuna wanawake wa dzain hyo na mwanaume anakubaliana nayo,labda wanaume wa dar ndo wanaweza kuvumilia ujinga huo
 
....nilijikuta nashawishi ndugu tuuze nyumba ya urithi....kisa nimfurahishe mwenza wangu...nilipoishiwa tu vihela vyangu...alisomba kila kilicho chake na kusepa...duuh...nikimkumbuka hamu sina...ila najisikia faraja kila ninapoulizia taarifa zake naambiwa amechoka balaa...kawa muuza ***chi...mara leo Mafia..kesho kaenda mpaka wa Zambia na Tz...mara kesho kutwa watu wamemuona Kasulu...ni kama ana laana...ila amenifunza kitu.....
 
1478016712071.jpg
 
Sasa kama Mwanaume unashindwa kumuhandle mkeo, umepooza pooza, upo too predictable, pumbu hupigi vya kutosha nk mwanamke ataachaje kukuchukulia kimaslahi maslahi?

Heshima ya mwanaume anaijenga mwanaume mwenyewe.
 
Back
Top Bottom