Wangu hafanani na wako

Wangu hafanani na wako

Nadhan ujumbe umewafikia wahusika. Waache hizo tabia maana inafika kipindi mwanaume anachoka mpaka anaanza kutafuta aman ya roho nje.. alafu baadae wanakuja kulalamika wamesalitiwa wkt wao ndio chanzo.
 
Sasa kama Mwanaume unashindwa kumuhandle mkeo, umepooza pooza, upo too predictable, pumbu hupigi vya kutosha nk mwanamke ataachaje kukuchukulia kimaslahi maslahi?

Heshima ya mwanaume anaijenga mwanaume mwenyewe.
Sex sio kila kitu mkuu,unaweza kua hodari lakini wala isimshtue mwanamke kama Tabia yako chafu..
 
Duuuhhhh kazi kweli kweli.

Nakumbuka kisa mkasa cha binamu yangu alikuwa "mission town", kila Mara mkewe mkewe alikuwa akimsema vibaya na kuniomba nimsihi ndugu yangu aache hizo "deal"

Bahati nzuri mchongo wake mmoja ukaja kukubali na kutema hela mithili ya mgodi. Mkewe akaanza kumwita majina yote mazuri, kibaya zaidi akawa hataki awe karibu na kina sie bila kujua sisi ndio tulimfikisha hapo.
hahahaha
 
Sasa kama Mwanaume unashindwa kumuhandle mkeo, umepooza pooza, upo too predictable, pumbu hupigi vya kutosha nk mwanamke ataachaje kukuchukulia kimaslahi maslahi?

Heshima ya mwanaume anaijenga mwanaume mwenyewe.
Watakuelewa wachache mkuu coz wanaume wa ukweli wenyewe wamebaki wa kuhesabika, the rest ni wa kulialia tu!! Hapo mke ataacha kukuendesha kweli??!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ninedha wa yoo kio, netha nikuinke lughohe lwedi mtani[emoji85] [emoji85] [emoji125]
Teh teh... Udhe na hemthi unighenjije ndima edha kio tukete nguju jedi.. Uwiii..
 
Back
Top Bottom