@chimunguru,upo juu ka povu la safari ,nimekukubali.,
Jambo wana jf,napenda kufahamu asili ya majina ya kingoni/Wangoni maana utasikia mara ngonyani,mapunda,sungura,tembo,nguruwe......mmmh ,wanajf naomba nyongeza ya majina ya wangoni na kuelewa why wanapenda majina ya wanyama?
Mkuu kumbe watani zangu hawa bado wanaitwa wangoni? Mi nilisikia kuwa wamerekebisha jina la kabila yao kwa kutoa hiyo herufi "n" na sasa wanaitwa Wagoni........hahahahahah watani bana mpooooooooooooo..................
Te he te he eeh eti wagoni!!Mkuu kumbe watani zangu hawa bado wanaitwa wangoni? Mi nilisikia kuwa wamerekebisha jina la kabila yao kwa kutoa hiyo herufi "n" na sasa wanaitwa Wagoni........hahahahahah watani bana mpooooooooooooo..................
Jambo wana jf,napenda kufahamu asili ya majina ya kingoni/Wangoni maana utasikia mara ngonyani,mapunda,sungura,tembo,nguruwe......mmmh ,wanajf naomba nyongeza ya majina ya wangoni na kuelewa why wanapenda majina ya wanyama?
teheteh kaka sisi ni waSauzi bana njia yote tulikopita wapo Ngoniz kibao hapo zambia akina Tembo, Njovu, Soko wako kibao tu Zimbabwe wamejaa, ukienda Swaziland kibaooooo, sauzi huko kibao nako akinza Zenda, hahahahahaha Malawi so we conquered many a tribe. Wakati mfalme Zulu anatawala kule bondeni alikuwa katili mnooo so tukalala mbele kutafuta vibonde wetu na sie, so tutapiita kooote tukaja ishia Songea hapo. sisi tuna watani wengi sana wakiwemo wafipa, wanyamwezi, wasukuma wahehe, wapogoro, wazaramo wamatumbi, wahyao na wengine wengi tu huko kote tulipiga na kusambaratisha na wakaacha njia. Songea bana raha sana nakumbuka Ngoma yetu swafi sana inaitwa Lizombe, kuna LIGIHU(hii ilikuwa wazee wanacheza) na ligwamba. Kuna beta hahahahaha hii tamu mnoo halafu kuna ngoma flani hivi TAMU AJABU miaka ya 80 mpaka 84-85 ilikuwa maarufu sana kwa vijana pale songea mjini ikiitwa KAMBINDI!!! fika kimolo, mateka, makambi, matogoro, luhila seko, kule Box 2 aka Songea BOYS ikifika kumi na mbili jioni ni ngoma kwa kwenda mbele. Kuna ule wimbo maarufu wa SOKONI SIENDI TENA, SOKONI SIENDI TENA NILIKUMTA BINTI MMOJA EEEEH LIWAYA AMEVAA KANGA EEEH LIWAYA KANGA SIO KANGA EEENH LIWAYA BALI ......... EEEH LIWAYA, NAMBENDO SIENDI TENA NAMBENDO SIENDI TENA.. hapo kambindi aka KAMBUSU imepamba moto halafu ilikuwa inatembea dizaini km mdundiko vile aaaaah ilikuwa raha saaaaana. Basi ule mdundo wa ndoma tulikuwa tunaupa maneno eti dombi eenh sidombi tena x3 hahahaha