Leteni topic za maana jamani.
<br />Wanaume wa kingoni wana majungu balaa!
tumechokaa
Na mathread yenu.
Ukabila ukabila ukabila
Ukabila ukabil ukabila
Mpaka lini jamani?
Mara wachaga,wakurya,wahaYA,WAKURYA
Aggh inakeraa!!!
Wangon tunasakamwa hapa,juzi nimekuta stori za wangon hapa,yaani wangoni,wangoni wangoni,dar na tunanasibishwa na uzinz why?????
Mtajiju!
katibu kata kumbilimbili anyi bia, katibu kata kumbilimbi anyi bia!!!!!!!!!!!!!!!!! Bonge ya songi usisikie hapo umepewa mgeni wa jirani binti umfikishe dar kutoka songea.